Hii 3-4-3 ni nzuri, tunakuwa tunacheza kwa kuattack zaid, Markovic anacheza kama Left Wing back (ambayo syo namba yake) lakin anapiga mpira mkubwa sana (stats za game zinaonyesha)...ye na coutinho ndo walikuwa wanacourse troubles kwenye defense ya Arsenal..
lakin angekuwa hatar zaid kama angesogezwa mbele katika front 3, na Moreno achukue ile LWB position..pace itaongezeka sana, nadhan Moreno alikuwa exposed zaidi kwasababu ya Lovren, leo tumeona jinsi Sakho alivyokuwa anamCover vizuri Markovic, kiasi cha kupelekea SANCHEZ kupotea kabisa..
Pia Mignolet arud golini, mpaka tutakapo-mpata Keeper mpya..
All in All, 3-4-3 inaonekana ni deadly formation kinachokosekana ni ST tu wa maana tu..kwa hii formation hata MB atakufunga tu..
thanx God tumeachana na ile 4-2-3-1 aiseee!!!
lets pray for the BEST!