Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yale yale ya kutokuwa makini!
Kolo na Sakho wameruka pamoja wakajichanganya wao wenyewe
1-1 is not fair result!Game yetu hii
 
liverpool hata wangepata striker mwenye kiwango cha Remy Yule mlosema mgonjwa ilifaa kabisa kumchakaza gunners
 
Keeper afadhali arudi Mignolet,huyu Jones kafungwa bao zote 2 rahisi sana
 
Hii game Liver mlikua mnaimaliza mapema sana ila ndio hivyo mmeruka ruka sana bila mikakati ya goli
 
Hii game Liver mlikua mnaimaliza mapema sana ila ndio hivyo mmeruka ruka sana bila mikakati ya goli

Mkuu sasa hivi kinachotugharimu ni kutokuwa na striker Wa ukweli vinginevyo hii game ilikuwa ya Liverpool! goal attempt zile zote tungekuwa na strikers makini arsenal alikuwa anakaa!!
 
Mkuu sasa hivi kinachotugharimu ni kutokuwa na striker Wa ukweli vinginevyo hii game ilikuwa ya Liverpool! goal attempt zile zote tungekuwa na strikers makini arsenal alikuwa anakaa!!

Hata ile mechi ya Man U, tatizo lilikuwa hilo hilo
 
yaan arsenal hawatuez kbxa,bt kikosI cha Leo kpo gud, Borini amecheza kwa passion kubwa, alvopewa red card hakutaka hata kupoteza muda alikimbia straight away so that wenzake watafte bao, coutinho+lucas walishindwa tu kufunga tu sijui kwann, Brad Jones kwa kwely yaan mpira ukienda mbele ni goli ukiacha zile save 2 bt hafai sana
 
Mignolet is shit..lakin magoal aliyofungwa BJ leo, yote angeyasave yale!!!

Sema leo, CAN angecheza pale katikati, Kiungo cha Arsenal kingechakazwa mara mia ya ilivyokuwa leo...

Imagine tungekuwa hata na REMY leo...!!!!
 
Hii 3-4-3 ni nzuri, tunakuwa tunacheza kwa kuattack zaid, Markovic anacheza kama Left Wing back (ambayo syo namba yake) lakin anapiga mpira mkubwa sana (stats za game zinaonyesha)...ye na coutinho ndo walikuwa wanacourse troubles kwenye defense ya Arsenal..

lakin angekuwa hatar zaid kama angesogezwa mbele katika front 3, na Moreno achukue ile LWB position..pace itaongezeka sana, nadhan Moreno alikuwa exposed zaidi kwasababu ya Lovren, leo tumeona jinsi Sakho alivyokuwa anamCover vizuri Markovic, kiasi cha kupelekea SANCHEZ kupotea kabisa..

Pia Mignolet arud golini, mpaka tutakapo-mpata Keeper mpya..

All in All, 3-4-3 inaonekana ni deadly formation kinachokosekana ni ST tu wa maana tu..kwa hii formation hata MB atakufunga tu..

thanx God tumeachana na ile 4-2-3-1 aiseee!!!


lets pray for the BEST!
 
Back
Top Bottom