Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sokho kuchezea clab ya hadhi ya Liverpool ni upepo. Ni beki wa kawaida sana
Hii game Liver mlikua mnaimaliza mapema sana ila ndio hivyo mmeruka ruka sana bila mikakati ya goli
Mkuu sasa hivi kinachotugharimu ni kutokuwa na striker Wa ukweli vinginevyo hii game ilikuwa ya Liverpool! goal attempt zile zote tungekuwa na strikers makini arsenal alikuwa anakaa!!
Yale yale ya kutokuwa makini!
Kolo na Sakho wameruka pamoja wakajichanganya wao wenyewe
1-1 is not fair result!Game yetu hii