Ni utani tu mkuu. Kule kwenye uzi wetu wa Arsenal wanatuleteaga zaidi ya hizi tunavumilia mambo yanaendelea .Haya madude ya hovyo tungeyaacha kule kwenye corrupt football yetu
Liver amshukuru kipa hizi dk extra kapelekewa moto hasa. Ngoja tuone penaltiesMechi ngumu sana hii dah
Kashadaka moja 😁😁😁😁jini hiliWazee kwa Dounarruma sijui kama mtatoboa.
Anakuaga mtulivu sana huyo jamaa.Kashadaka moja í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸jini hili
Kadaka ya piliAnakuaga mtulivu sana huyo jamaa.