Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa wapenzi wa soka hapo liverpool hamtamsahau huyu kwa msimu huu. Katibua mipango dakika za mapema kabisa
Screenshot_20250312-014701_1.jpg
 
Kama kuna wachezaji wa kufukuzwa mwisho mwa msimu hawa wawe wa kwanzaView attachment 3267322
Game wakati mwingine inakataa penati alikosa baggio fainal..jota kosa lake nini misimu miwili au mitatu kaibeba timu anakuwa gereji akirudi anatufungia magoli hata hivi tunavyoongoza ligi kuna mchango wake kwani tusifukuze vvd na alisson ndani ya siku nne wamefanya makosa ya kufanana!
 
Mchezaji ambaye hana msaada kwenye ni wa kazi gani ???

Jota ameisaidia nini LFC msimu huu.
 
UCL ni mashindano ya wanaume, sio ndezi kama nyie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau hichi mnachokifanya ni kumtukana mamba kabla hamjavuka mto, hivi unajua kua Mbappe anawasubiria kwa hamu?
UCL kweli ni mashindano ya wanaume, na Liverpool ni miongoni mwa hao wanaume tayari ameshabeba makombe 7 ya Ucl, haya tuambie wewe timu yako Arsenyo ni yanaume au ni ya wamama?
Kama kweli ni timu ya wanaume tokea imeanzishwa mwaka 1886 ina makombe mangapi ya Ucl?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilijua tu hili lidude likisimama tu pale golini linatisha, halafu Nunez kwa kipindi hiki sio wa kumuachia kupiga penalty kabisa, ni kumtafutia lawama tu za bure na kumchonganisha na mashabiki.
Timu yoyote ile kwa sasa duniani haipendi kufikishana kwenye hatua ya penalty shoot outs na PSG sababu ya hilo dubwana Gigi Donnaruma, maana jamaa huwa ni lazima licheze angalau penalties mbili,
 
Back
Top Bottom