Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

So kwa vile tu wamekuangusha kwenye hii mechi moja basi ndio unawaona hawafai kabisa? Mashabiki bwana.
Mimi nai support LFC si support mchezaji kama mchezaji hana msaada kwenye timu yangu hafai kuwa hapo.
 
Slot again huyu kocha ni mpumbavu sana sijawai kuona hizi match za mhimu anadhidi kutushusha the match against Plymouth FA akaweka wachezaji wa ajabu tukaondolewa. Leo tena anafanya sub za kiseng* kumtoa McAllister na Szoboslai was big mistake, then alivyo wa ajabu anaenda kufanya selection mbovu ya wapigaji penalty, Yakima Nunez yaliyo jichokea, aisee... Hii match imeniuma. Hata saivi EPL tushukuru tu Man. City na Arsenal hawapo kwenye form vinginevyo saivi tungekua tupo nafasi ya 3 huko. Simuoni akiwa na mda mrefu pale viunga vya ANFIELD.

Lakini hongera kwa. PSG wameonyesha ushindani mkubwa sana. Naona Kuna uwezekano mkubwa sana wa PSG kuchukua huu ubingwa. Jamaa wanajua kukaba, (high pressing) wanapiga accuracy pass aisee... Mpaka Sasa match nilizo ona UEFA sioni timu ya kuwazuia hawa washikaji.
 
Timu yoyote ile kwa sasa duniani haipendi kufikishana kwenye hatua ya penalty shoot outs na PSG sababu ya hilo dubwana Gigi Donnaruma, maana jamaa huwa ni lazima licheze angalau penalties mbili,
Kuna clip niliona yupo na kocha wake wanafanya mazoezi kwenye giza anarushiwa mbegu za ubuyu anadaka.

Ngoja ntafute link.
 
Slot again huyu kocha ni mpumbavu sana sijawai kuona hizi match za mhimu anadhidi kutushusha the match against Plymouth FA akaweka wachezaji wa ajabu tukaondolewa. Leo tena anafanya sub za kiseng* kumtoa McAllister na Szoboslai was big mistake, then alivyo wa ajabu anaenda kufanya selection mbovu ya wapigaji penalty, Yakima Nunez yaliyo jichokea, aisee... Hii match imeniuma. Hata saivi EPL tushukuru tu Man. City na Arsenal hawapo kwenye form vinginevyo saivi tungekua tupo nafasi ya 3 huko. Simuoni akiwa na mda mrefu pale viunga vya ANFIELD.

Lakini hongera kwa. PSG wameonyesha ushindani mkubwa sana. Naona Kuna uwezekano mkubwa sana wa PSG kuchukua huu ubingwa. Jamaa wanajua kukaba, (high pressing) wanapiga accuracy pass aisee... Mpaka Sasa match nilizo ona UEFA sioni timu ya kuwazuia hawa washikaji.
Kwasababu wamekutoa wewe ndo unaona hakuna timu ya kuwazuia?

Hizo hisia zako tu.

PSG anafungika vizuri tu.
 
Slot again huyu kocha ni mpumbavu sana sijawai kuona hizi match za mhimu anadhidi kutushusha the match against Plymouth FA akaweka wachezaji wa ajabu tukaondolewa. Leo tena anafanya sub za kiseng* kumtoa McAllister na Szoboslai was big mistake, then alivyo wa ajabu anaenda kufanya selection mbovu ya wapigaji penalty, Yakima Nunez yaliyo jichokea, aisee... Hii match imeniuma. Hata saivi EPL tushukuru tu Man. City na Arsenal hawapo kwenye form vinginevyo saivi tungekua tupo nafasi ya 3 huko. Simuoni akiwa na mda mrefu pale viunga vya ANFIELD.

Lakini hongera kwa. PSG wameonyesha ushindani mkubwa sana. Naona Kuna uwezekano mkubwa sana wa PSG kuchukua huu ubingwa. Jamaa wanajua kukaba, (high pressing) wanapiga accuracy pass aisee... Mpaka Sasa match nilizo ona UEFA sioni timu ya kuwazuia hawa washikaji.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom