Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Attachments

  • Screenshot_20250312-080046.png
    Screenshot_20250312-080046.png
    605 KB · Views: 1
Ni mawazo yako mkuu na una haki ya kusema kutokana na uwezo wako wa kufikiria. Vipi lakini mmoja wetu akajaribu kuingia kupitia mlango wa Westham, nimejaribu tu kuwaza kwa sauti.

# This tracherous game called FOOTBALL.

Yaani Facts ya Arsenal kumfunga PSG unaita mawazo yangu? Aisee wewe ni mtu wa kwanza kumshuhudia hajui tofauti ya FACTS v/s OPINIONS
 
Tusisahau Arsenal alimfunga PSG tena kimpira na sio kibahati kama tulivyoshinda sisi pale Paris.

Hivyo Mshabiki wa Liverpool hana uhalali wowote wa kumcheka Arsenal msimu huu unless awe dumbass.
Kwa kikosi gani alicho kua nacho PSG, siku hiyo mlianzishiwa watoto ndiyo maana mlijipigia tu goli 2 lakini round hii endapo mtakutana nao mtakulangoli za kutosha
 
Yaani Facts ya Arsenal kumfunga PSG unaita mawazo yangu? Aisee wewe ni mtu wa kwanza kumshuhudia hajui tofauti ya FACTS v/s OPINIONS
Mimi binafsi nafikiri mnatakiwa muangalie pia na wakati ambao Arsenal anamfunga PSG.

Arsenal kaifunga PSG, that's a fact yes lakini je kaifunga PSG ikiwa kwenye hali gani?

Je PSG iliyofungwa na Arsenal na PSG hii ya sasa zilikua kwenye form sawa?

PSG alikua na hali mbaya kwenye UCL(alifika mpaka nafasi ya 30+) kabla ya kuja kufufuka zikiwa zimebaki mechi 3 pekee.

Kwahiyo ulinganisho wa kusema Arsenal alimfunga PSG bila shida, PSG ambayo baadae imekuja kum dominate liverpool kwangu mimi naona si fair.

Arsenal kaifunga PSG iliyokuwa inasuasua, Liverpool mmekuja kukutana na a completely different beast.
 
Amefanya save moja hatari sana, otherwisehata kwenye matuta tusingefika., ila kwenye penalty kakutana na wapiga penalty waliojiandaa kisawasawa. Becker katubeba sana Liverpool, wachezaji pia wamechoka sana sana sana. EPL kila team ni kama PSG, sina chakuwadai wachezaji, wakomae EPL mechi 3 zinazofuata tupate ushindi kwanza.
Exactly 💯 pia kikosi Cha Liver saivi tunahitaji reform ndani ya kikosi ukitoa first eleven pale Liverpool hakuna kinacho baki, hatuna wachezaji ambao wanaweza kutokea nje wakabadilisha game zaidi ya kuingia mizigo kwenye team.
 
Kwa kikosi gani alicho kua nacho PSG, siku hiyo mlianzishiwa watoto ndiyo maana mlijipigia tu goli 2 lakini round hii endapo mtakutana nao mtakulangoli za kutosha
Huyo aliyeandika hivyo ni mwana liverpool, nafikiri labda alikuwa overwhelmed by emotions.

Huyo Arsenal angekutana na PSG hii tungeona mpira tofauti kabisa
 
Sema nilikua nacheka sana nikiingia humu nakutana na watu wanawaza treble 😄

"Treble incoming"
😄😄😄😄 Kwa liverpool hii? Hebu tuweni serious basi.
 
Huyo aliyeandika hivyo ni mwana liverpool, nafikiri labda alikuwa overwhelmed by emotions.

Huyo Arsenal angekutana na PSG hii tungeona mpira tofauti kabisa
Sahihi kabsa Jamaa wako moto sana na Kipindi wanakutana na arsenal ndiyo walikua Wana reform kikosi.

Sasa sijui watu wanapata wapi uhalali kuitweza PSG ya saivi. Wakifanikiwa kufika fainal hili kombe wanalichukua.
 
Back
Top Bottom