So did you believe when Kun Aguero said he is a Liverpool fan?
Dah! Ngoja, nikuvumilie kidogo tena...ila inavyoelekea, naweza nami kujitoa kwenye mjadala.
Hakuna anayemchukia Gerrard, ni legend wa Liverpool kweli. Ila ugomvi wangu ni kusema yeye ni bora kuliko fundi Paulo!
Mbona hata SG naye alikiri kuwa ni shabiki wa R. Madrid? Jambo la kawaida tu ili chifu...
Kwa hiyo 'mafanikio individually' yanapimwaje? Ebu toa 'mafanikio individually' ya SG kwenye wachezaji wa dunia hii. Hapa naamini mafanikio katika ngazi ya dunia, na si Uingereza.
Twende sasa...
hahahahaaaaa, Paulo Scholes unamlinganisha na Gerro??? YOu must be on something
Hakuna anayemchukia Gerrard, ni legend wa Liverpool kweli. Ila ugomvi wangu ni kusema yeye ni bora kuliko fundi Paulo!
You guys are nuts!! PeriodMost of the Brits must be on something too to think the same..,
Check out the poll I attached..
Haya, tuendeleee...
Awali ulisema Gerrard alitakiwa na timu zote kubwa za Ulaya (hapa naamini ulimaanisha Bayern Munchën, R. Madrid, Barcelona, Manchester United, Juventus, na AC Milan.
Lakini hapo juu umeweka links za timu mbili tu! Hiyo ya SAF, umeona mwenyewe anasema hakumwona SG kama top player wa kuweza kucheza nafasi za Keano na Scholesy, pamoja na SG kutamba Anfield..
Sasa, bado naomba links za timu nyingine na links zinazoonyesha kukataa kwa SG...
Pili, hivi unafahamu hata lineup ya Liverpool siku ile Instabul? Maana unauliza kama Alonso alifanya nini msimu wake wa kwanza? Doh! Alonso alikuja Liverpool msimu wa 2004/05, msimu Liverpool waliposhinda UCL, na yeye kufunga moja ya magoli. Pia, unasahau mchango wa Luis Garćia aliyefunga magoli ya muhimu dhidi ya Rentboys?
Check lineup ya UCL Final 2005
UEFA Champions League 2004/05 - History - Milan-Liverpool Lineups ? UEFA.com
Wewe jamaa ni mweupe sana, nasema tena...soma historia ya timu yako vizuri...
Hakuna anayebisha kuwa SG ni mchezaji mzuri sana, ila kwa talents, techniques na sophistications, atasubiri sana kwa Scholesy. Na ushahidi ni kuliliwa kwake na waingereza ili arudi national team iliyokuwa bado na kina SG na FL!
Nimekuuliza, umesikia waingereza wanamlilia SG arudi national team?
You guys are nuts!! Period
Ati most of Brits, brits wapi hao?? which media are you talking about?? MUFCTV??
Fokkin poop
kubishana na chizi unaweza kuwa chizi ndugu yangu MosDef
Huyu ni wa kumcheka tu na kumpisha
Uzuri mimi uwa sina tabia ya kumtusi mtu.
Nimeweka poll na link ambazo hazipo affiliated na MUFC pale awali...
Hizo ni viashiria vya mtazamo wa waingereza juu ya nani midfielder mzuri wa Uingereza...
Mnaweza pia kwenda kuvote ili SG amzidi Scholesy..:
Doh! Wewe mkali! Sasa mbona SG ameshindwa kumfanya Henderson kuwa bora?!?
Uzuri mimi uwa sina tabia ya kumtusi mtu.
Nimeweka poll na link ambazo hazipo affiliated na MUFC pale awali...
Hizo ni viashiria vya mtazamo wa waingereza juu ya nani midfielder mzuri wa Uingereza...
Mnaweza pia kwenda kuvote ili SG amzidi Scholesy..:
Ngoja niwaulize swali moja nyiye watu: kama SG is that good individually, why he didn't prove so in the national team? Mnaweza kunipa mechi tatu za national team ambapo individual performance ya SG ilikuwa exceptional?

Jamani tubishane tusibishane, tutamkumbuka SG kwa mazuri yake,lakini msimu huu ,SG KWA KUWA alikuwa ndo Engine ya Liverpool,tuseme ukweli Alipofikia awezi kuivusha Liverpool katumika vya kutosha.Heshima tutampa ndo lililobakia
Uzuri mimi uwa sina tabia ya kumtusi mtu.
Nimeweka poll na link ambazo hazipo affiliated na MUFC pale awali...
Hizo ni viashiria vya mtazamo wa waingereza juu ya nani midfielder mzuri wa Uingereza...
Mnaweza pia kwenda kuvote ili SG amzidi Scholesy..:
ukigoogle utakuta polls zaidi ya 40, akili kumkichwa
you cant compare the two labda kwa urefu tu... the rest, tunajua majibu, impact is impact
Nzi ukija kwenye National Team SG na Scholes ndiyo utapata aibu zaidiDaaah!!
afu nimeisahau na ile ya Germany Vs England pale MUNICH..
Hahahahahahah!!
SG bhanaaa!!!!