Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

So did you believe when Kun Aguero said he is a Liverpool fan?

Dah! Ngoja, nikuvumilie kidogo tena...ila inavyoelekea, naweza nami kujitoa kwenye mjadala.

Me nakushangaa wewe unaposema SG "alikiri" kuwa ni RMA fan..
 
Hakuna anayemchukia Gerrard, ni legend wa Liverpool kweli. Ila ugomvi wangu ni kusema yeye ni bora kuliko fundi Paulo!

hahahahaaaaa, Paulo Scholes unamlinganisha na Gerro??? YOu must be on something
 
Mbona hata SG naye alikiri kuwa ni shabiki wa R. Madrid? Jambo la kawaida tu ili chifu...

Kwa hiyo 'mafanikio individually' yanapimwaje? Ebu toa 'mafanikio individually' ya SG kwenye wachezaji wa dunia hii. Hapa naamini mafanikio katika ngazi ya dunia, na si Uingereza.

Twende sasa...

1.Bronze medal(Ballon )
2.Man of the Match CL(Istanbul)
3.Man of the match FA

Hayo ni mafanikio yake individually,alifanya mambo akateuliwa!Kuna wachezaji bora dunia hii wamecheza CL fainals nyingi tu hawajawahi hata kufikiriwa kuwa Man of the Match wa CL wala kunusa hata 10 bora bora ya Ballonsembuse 3 bora aliyoingia SG miaka hiyo ana nguvu zake
 
Most of the Brits must be on something too to think the same..,

Check out the poll I attached..
You guys are nuts!! Period

Ati most of Brits, brits wapi hao?? which media are you talking about?? MUFCTV??

Fokkin poop

kubishana na chizi unaweza kuwa chizi ndugu yangu MosDef

Huyu ni wa kumcheka tu na kumpisha
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niwaulize swali moja nyiye watu: kama SG is that good individually, why he didn't prove so in the national team? Mnaweza kunipa mechi tatu za national team ambapo individual performance ya SG ilikuwa exceptional?
 
Haya, tuendeleee...

Awali ulisema Gerrard alitakiwa na timu zote kubwa za Ulaya (hapa naamini ulimaanisha Bayern Munchën, R. Madrid, Barcelona, Manchester United, Juventus, na AC Milan.

Lakini hapo juu umeweka links za timu mbili tu! Hiyo ya SAF, umeona mwenyewe anasema hakumwona SG kama top player wa kuweza kucheza nafasi za Keano na Scholesy, pamoja na SG kutamba Anfield..

Sasa, bado naomba links za timu nyingine na links zinazoonyesha kukataa kwa SG...

Pili, hivi unafahamu hata lineup ya Liverpool siku ile Instabul? Maana unauliza kama Alonso alifanya nini msimu wake wa kwanza? Doh! Alonso alikuja Liverpool msimu wa 2004/05, msimu Liverpool waliposhinda UCL, na yeye kufunga moja ya magoli. Pia, unasahau mchango wa Luis Garćia aliyefunga magoli ya muhimu dhidi ya Rentboys?

Check lineup ya UCL Final 2005

UEFA Champions League 2004/05 - History - Milan-Liverpool Lineups ? UEFA.com

Wewe jamaa ni mweupe sana, nasema tena...soma historia ya timu yako vizuri...

Hakuna anayebisha kuwa SG ni mchezaji mzuri sana, ila kwa talents, techniques na sophistications, atasubiri sana kwa Scholesy. Na ushahidi ni kuliliwa kwake na waingereza ili arudi national team iliyokuwa bado na kina SG na FL!

Nimekuuliza, umesikia waingereza wanamlilia SG arudi national team?

Umewahi sikia haya?
1.Teams hata moja nje ya Uingereza kumlilia Scholes wakitaka kumsajili alipokuwa hot?

2.Umewahi ona ww Scholes anakuwa man of the match ktk fainali yyt ile kwenye fainali zake nyingi sana kuliko hata alizocheza SG?

3.Umewahi soma sehemu Scholes aliwahi hata kuwa mchezaji bora wa Ligi ktk miaka yake 10+ alizocheza?

4.Umewahi fananisha individual decoration za SG na Scholes uone utumbo wa tuzo za Scholes?

5.Weka hapa link zikionyesha kama FA walipeleka formal request kumuomba Scholes arudi team ya Taifa!Usiweke link za genge la wahuni wa Great Manchester wakimuomba Scholes arudi

Scholes huwezi mfananisha na SG kwa lolote lile=FACT
 
You guys are nuts!! Period

Ati most of Brits, brits wapi hao?? which media are you talking about?? MUFCTV??

Fokkin poop

kubishana na chizi unaweza kuwa chizi ndugu yangu MosDef

Huyu ni wa kumcheka tu na kumpisha

Uzuri mimi uwa sina tabia ya kumtusi mtu.

Nimeweka poll na link ambazo hazipo affiliated na MUFC pale awali...

Hizo ni viashiria vya mtazamo wa waingereza juu ya nani midfielder mzuri wa Uingereza...

Mnaweza pia kwenda kuvote ili SG amzidi Scholesy..:
 
ukigoogle utakuta polls zaidi ya 40, akili kumkichwa

you cant compare the two labda kwa urefu tu... the rest, tunajua majibu, impact is impact
 
Doh! Wewe mkali! Sasa mbona SG ameshindwa kumfanya Henderson kuwa bora?!?

Sababu ya SG kamfanya HENDO aende WC na the average Carrick abaki!Bila SG una amini Hendo angechaguliwa mbele ya akina Carrick kwenda WC?
 
Uzuri mimi uwa sina tabia ya kumtusi mtu.

Nimeweka poll na link ambazo hazipo affiliated na MUFC pale awali...

Hizo ni viashiria vya mtazamo wa waingereza juu ya nani midfielder mzuri wa Uingereza...

Mnaweza pia kwenda kuvote ili SG amzidi Scholesy..:

Tukikuuliza maswali ya mafanikio ya Scholes huwa HUWEZI jibu zaidi ya kusema ana vikombe vingi!Hata Wes Brown ana vikombe vingi kumbuka!

CV ya Scholes kulinganisha na SG ni kichekesho kabisa!Scholes kwa mfano kawa player o the month mara ngapi na SG mara ngapi enzi hizo wapo on fire?

Man of the match ktk fainali ngapi?

EPL Player of the year mara ngapi?

Ballon kaenda kuvaa suti Uswis mara ngapi?

Huyu sasa anamfikia vipi SG?
 
Jamani tubishane tusibishane, tutamkumbuka SG kwa mazuri yake,lakini msimu huu ,SG KWA KUWA alikuwa ndo Engine ya Liverpool,tuseme ukweli Alipofikia awezi kuivusha Liverpool katumika vya kutosha.Heshima tutampa ndo lililobakia
 
Ngoja niwaulize swali moja nyiye watu: kama SG is that good individually, why he didn't prove so in the national team? Mnaweza kunipa mechi tatu za national team ambapo individual performance ya SG ilikuwa exceptional?

UMEANZA kubadili topic kama kawaida yako sasa!

Ona tofauti zaidi kati ya SG na mediocre Scholes

PFA Team of the Year a record eight times

UEFA Team of the Year

FIFA World XI
three times

PFA Players' Player of the Year
in 2006
A FootbaFWller of the Year in 2009.

The only footballer ever to have scored a goal in an
FA Cup Final, a League Cup Final, a UEFA Cup Final and a Champions League Final.

Wewe utatuambia tu Scholes ana EPL titles nyingi sana ehehehehe

Kuhusu SG na team ya Taifa fungua uzi wake uadhirike zaidi
 
Ngoja niwaulize swali moja nyiye watu: kama SG is that good individually, why he didn't prove so in the national team? Mnaweza kunipa mechi tatu za national team ambapo individual performance ya SG ilikuwa exceptional?

Hizi chache ndo nzikumbuka..

2007- Andorra Vs England
Hii game kocha alikuwa McClaren, ilikuwa ni Euro qualifier, ile first half mashabiki wa uingereza walikuwa wanaizomea sana team na ilikuwa ni a must win GAME na ENG walikuwa wanacheza mpira m-bovu sana kwenye first half mpaka wakawa wanazomewa na mashabiki wao.

Kipindi cha PILI SG turned things AROUND and scored TWICE to earn ENG a victory na kuihakikishia Place nzuri ya England kukolfy.

2012- France Vs England (EURO)
Game iliisha 1-1...ndo aliset up lile goal la lescott
Na hii game ndo ilimfanya atajwe kwenye kikosi cha TOURNAMENT ya EURO wakat ule.

2006 - England Vs Tobago.. (WC)

Last minutes GOAL..lililoupa ENG ushindi MUHIMU WC...(namkumbuka sana PETER DRURY maneno aliyoyasema)

Kuna ile ya England na Croatia...etc etc

Ukitaka zingine NITAKUPA..

Afu STEVEN GERRAD kacheza games 38 na katupia GOALS 21

Huyo SCHOLES kacheza games 66 na katupia GOALS 14..

Sjui tunabishania nn hapa...ni kupoteza tu MUDA aisee!
 
Daaah!!

afu nimeisahau na ile ya Germany Vs England pale MUNICH..

Hahahahahahah!!

SG bhanaaa!!!!
 
Jamani tubishane tusibishane, tutamkumbuka SG kwa mazuri yake,lakini msimu huu ,SG KWA KUWA alikuwa ndo Engine ya Liverpool,tuseme ukweli Alipofikia awezi kuivusha Liverpool katumika vya kutosha.Heshima tutampa ndo lililobakia

Ni kweli mkuu lkn ingekuwa team kama Barca au Madrid au Munich ningeelewa!Hata angekuwa Chelsea ningeelewa lkn kwingine SG bao anafaa!Carrick ni regular Man U hamshindi SG dimba la chini kwa lolote lile!Fernandindho hamshindi SG na uzee wake!

Liverpool BR anamuambia SG hana tena namba ya kudumu sababu ya Emre Can?No way kwa sasa Can amshinde SG bali ana potential kubwa ya kuiga toka kwa SG awe mchezaji bora baadae
 
Uzuri mimi uwa sina tabia ya kumtusi mtu.

Nimeweka poll na link ambazo hazipo affiliated na MUFC pale awali...

Hizo ni viashiria vya mtazamo wa waingereza juu ya nani midfielder mzuri wa Uingereza...

Mnaweza pia kwenda kuvote ili SG amzidi Scholesy..:

Polls!!!!!!!!

Talksport!!!!????

Twitter kila siku SKY SPORTS wanaendesha POLLS kuhusu Ozil na Fabregas na RT's na KURA nyingi nazipata OZIL (Always) hiyo ni sababu ya POWER ya ARSENAL kwenye TWITTER..

Nini talksport???!!!
 
ukigoogle utakuta polls zaidi ya 40, akili kumkichwa

you cant compare the two labda kwa urefu tu... the rest, tunajua majibu, impact is impact

Mkuu leta basi hizo polls nyingine tulinganishe. Mimi nimegoogle poll 1 na link 1; sasa leta basi hata poll 1 na link zinazoonyesha Gerrard ni bora kuliko Scholes.
 
Daaah!!

afu nimeisahau na ile ya Germany Vs England pale MUNICH..

Hahahahahahah!!

SG bhanaaa!!!!
Nzi ukija kwenye National Team SG na Scholes ndiyo utapata aibu zaidi

utavuna aibu ambayo sitaki mchambuzi guru kama wewe uipate!Scholes kazomewa Euro 2008!Uingereza HAIJAENDA WC 2006 sababu SG kaumia

Nenda kwenye archieve zako kaangalie Uingereza na USA WC 2010 na maneno ya kocha wa USA baada ya game ambayo ndiyo anaenda kuwa kocha wake Galaxy!

SG kacheza kama mara mbili pungufu ya games za Scholes lkn kafunga kama mara 2 zaidi ya bao!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom