Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


eef off.
 
Reactions: Nzi
nimejitoa kwenye huu mjadala baada ya kuona unageuka personal na watu kuanza matusi na mipasho...still bado kuna wankers hata ukiamua kukaa kimya wanakutafuta....im done with this discussion and i mean it!
 
Michael Carrick kwenye WC ya 2010 alikuwepo kwenye kikosi cha England lakin hakucheza hata dk 1..

2014 akapigwa CHINI kabisa..

Afu kitu cha msingi ambacho itabid ukijue ni kwamba *only manure united fans rates Carrick*

Dah! Chifu unachanganya mambo kama unatengeneza chipsi yai...

Kwani si ulikuwa unaongelea Carrick kuachwa WC ya 2014 na Henderson kuchukuliwa? Hapo ulikuwa ukimlinganisha Carrick na Henderson...sasa unaleta story ya WC ya 2010, point yako ni ipi haswa?

Kwa hiyo Hendeson anakuwa rated na fans gani? Wa Loserfools?

Tutafika tu...

Hii ni TheFA.com wakimtambulisha Michael Carrick, "Michael is a classy midfielder with an eye for the ‘killer' pass". (TheFA.com - Michael Carrick)
 
Afu STEVEN GERRAD kacheza games 38 na katupia GOALS 21

Huyo SCHOLES kacheza games 66 na katupia GOALS 14..

Sjui tunabishania nn hapa...ni kupoteza tu MUDA aisee!

Hii naona ilinipita aisee....eti unasema SG kacheza games 38? Unaongelea national team ama games za mazoezini?

SG ana caps 114 katika national team...

Sasa ukitafuta average kati ya mechi na magoli inakuja hivi:

PS (caps 66 {dakika 4,896}, goals 14) = 0.2121
SG (caps 114 {dakika 8,743}, goals 21) = 0.1842

Dakika alizocheza PS zinaonyesha yeye alianza games nyingi katika first 11 kuliko SG. Kwani katika mechi 66, kama angecheza dakika 90 katika mechi zote, basi angepaswa kuwa amecheza dakika 5,940. Hivyo, ukitoa katika dakika halisi alizocheza unapata tofauti ya dakika 1,044. Ilhali SG angecheza dakika zote dakika zote 90, angepaswa kuwa na dakika 10,260; ila kutokana na yeye kutoanza kama first 11 kwa sababu mbalimbali (bench, majeraha n.k.) , hivyo yeye ana tofauti ya dakika 1,517 (hizi ndizo alizokaa bench n.k.)...

Sasa tuendelee na 'ubishi' mkuu...na endelea kudhiirisha uweupe wako...hata hufahamu stats za mungu wenu!!
 
Ongeeni vyote ila mpaka sasa Scholesy ni bora zaidi ya SG (ushahidi nimeweka baadhi ya poll na links) ambazo washabiki mbalimbali wamepiga kura na kutoa mawazo yao...

Leteni polls na links zinazoonyesha SG ni zaidi ya Paulo....

Wewe ni mtu wa ajabu sana aisee!Polls zina nguvu kuliko:
EPL player of the League?
Ballon Bronze nomineee?
CL champipn player of the match?
FA player of the match
EPL team 8 times to make a records?
Carling Cup man of the mach?

Hizo sio polls ni fact labda uniambie wewe kama polls zina nguvu zaidi ya fact!Aisee Nzi heri unyamaze tu maana unajitia sasa aibu!

Alonso alimtengeneza SG eheheheheheh!Anayetengenezwa anakuwa Man of the match,aliyetengenezwa anaongoza team kuchukua Europa League Alonso akiwa academy bado Spain?
 
Last edited by a moderator:
Ongeeni vyote ila mpaka sasa Scholesy ni bora zaidi ya SG (ushahidi nimeweka baadhi ya poll na links) ambazo washabiki mbalimbali wamepiga kura na kutoa mawazo yao...

Leteni polls na links zinazoonyesha SG ni zaidi ya Paulo....

Mm nimekupa facts wewe unanipa polls?This is utterly more than a jokes mkuu
 

Kwanza katika football hakuna kitu kama Accurancy ya Dk..huwa zinakuwa ni approximation.

Due to the fact that many matches rarely stuck to exactly ninety minutes long, allowing time for injuries, errors and substitutions. The minutes here given can only ever be a guideline and cannot therefore be accurate, only an approximation. So suala lako la dk liweke pembeni..

Afu hapo unaposema kuwa Dk alizocheza Scholes zinaonyesha aliaza kwenye games nyingi kuliko SG, unataka kudanganya watu kulingana na sources zako hizo hizo ulikochukua haya mambo!

afu kitu cha pili me huwa siamini katika Minutes played, kwa kuwa umeonesha utaalamu wako katika kuzichambua minutes, kwa mchanganuo huu ntakaokupa naomba unipe exactly minutes na starts za SG katika England Nation Team (usibase na Wikipedia or some English forums)

SG wanasema ana Caps 114....tuanze..

Katika hizo Cap 114, alikuwa *un-used substitute* mara 12 (games ninazozikumbuka mimi ambazo bwana SG hakukugusa nyasi ni zile za 2000 mpaka alipokuja kumake his debut miaka hyo, 2003, kuna 2008 na mostly friendlies za 2010-2011 alipokuwa ana balaa ya injuries, though alikuwa anaitwa kwenye national team mpaka LFC ikawa inalalamika..*but alikuwa hatumiki*

Pia katika hizo caps 114, He was subbed off mara 53 (mostly katika dk 64, 72, 77, 85 etc)

Katika hizo Caps 114, he was subbed on mara 4 ( mostly katka 80+ minutes)

Yet tunaambiwa aliaza games 110, je wamehesabia na zile *un-used substute*?? Hiz zilimkuta mara nyingi sana when he was trying to break into the national team na kipind cha 2010's alipokuwa anahangaika na sindano za kupunguza maumivu..

Kwa mujibu huo mdogo zinakujaje dk 8, 743?? (Kwa mujibu wako) manake stats za English team zinasema ni dk 8, 725..(kwann kuwe na utofauti na za kwako?)..je hizo un-used subs na minutes ambazo alikuwa subbed off zinahesabiwa???

Je mtu ambaye ana apps 66 na starts 64, atakuwaje na minutes 4,896???, ikiwa tu mtu mwenye apps 63 na starts 62 ana minutes 5560??? Mnapataje hizo minutes?? Na games ngap ambazo PS alikuwa subbed off???..ni game ngap ambazo alikuwa ni *un-used sub?*

Carrick ana Caps kama 31 but chini ya McClaren na Errkson kwa pamoja Carrick aliaza games si chin ya 8 or 9 if am not mistaken (nakubali masahihisho)...na despite ya kuitwa kuna games kibao hakucheza kabisa...so hapo tunahesabiaje minutes???

Naomba unipe mchanganuo...

Afu reality check nyingine ni kwanga SG kacheza team ya Taifa Miaka 14.. Since 2000 mpaka aliporetire...PS kacheza miaka 7 tu, kastahafu akiwa na miaka 29..(and sadily you know the reason) so lazima Caps zitofautiane tu..

Naomba unipige msasa kwenye minutes..
 

Hizo polls unafikiri zimetokana na nini? Wapiga kura wanajua sana hizo unazoziita facts, na wao kupiga kura kutokana na facts kwa wachezaji wote wawili...

Pia, hizo ndizo records za kujivunia za mungu wenu Gerrard? Basi, nimeshindwa mjadala huu...kama hadi MoTM awards ndizo zinazomfanya awe bora kuliko Scholesy, nimesarenda mkuu wangu..

Pili, UEFA Cup Final ya mwaka 2000/01, licha ya kufunga goli, SG hakutamba kama kibabu McAllister, ndiyo maana nikapewa MoTM award..

Mwisho nionyeshe wapi nimeandika Alonso alimtengeneza SG!! Nilichoandika ni kuwa, Alonso alimfanya SG acheze vyema zaidi na kuwa bora zaidi cum alimchezesha SG vyema...sawa na Iniesta na Xavi wanavyomchezesha Messi vyema (kuliko midfielders wa Argentina)...
 
Last edited by a moderator:

Acha kuruka ruka mkuu!Ktk awards hizo juu za SG ipi mbovu?Ktk awards hizo ipi Scholes anayo?

Hawa walicheza muda mmoja ikawaje SG awe mhezaji bora wa ligi hiyo hiyo lkn Scholes wala asifikiriwe?

Ikawaje SG awe kwenye team ya mwaka ya EPL mara 8 wakati Scholes mara 2 tu?

Fact zinashinda polls na hapa unaumbuka kaka
 

Bado hunipati, siyo? Nimesema, unafikiri wewe peke yako ndiyo unafahamu hizo facts? Jibu ni hapana. Waliopiga kura katika hizo polls wanazifahamu pia hizo facts, lakini mwisho wa siku wakampigia Scholesy kama ndiye bora zaidi...

Sasa unaposema facts zinashinda polls, unakuwa huelewi kwamba polls zinapigwa based on facts pia?

Unless mlete polls zinazoonyesha SG ni bora kuliko Paulo, bado jabs zenu ninazimudu...
 
Nzi and RRONDO, vipi jamani... hivi hakuna tunachoweza kujadili kisoka-soka zaidi ya kucha kubishana huku?? Hivi ingekua sisi tunakuja kule kuwasumbua mngependa??

Sports sio unazi wa kijinga

Just feel that you are welcome ila sio kuja kishambenga-shambenga namna hii... Haina tija

Kuweni watu wazima kidogo japo tunajua balehe ndio imekuja
 
Last edited by a moderator:

Who was the best: Paul Scholes, Steven Gerrard or Frank Lampard? | Football | theguardian.com
 

Chifu, wewe ni moderator ama? Kama siyo, unaweza kuniweka kwenye ignore list usione posts zangu.

Ila kwa kuwa ni jukwaa huru, nitapost ninavyojisikia, ilmradi sivunji sheria za JF..

Mimi sina tabia ya kutusi watu, nishakuambia.
 
Last edited by a moderator:

Mbali na EPL titles nn kingine kapata Scholes kumzidi SG?Mm nimekuwekea hapa ww unakimbilia pass accurate ehehehe!

Kakuzidi kila kitu individualky mlipokuwa mnacheza ligi moja ww unakimbilia minutes walizochea ehehehe

SG mara 8 kwenye team ya EPL yy mara 2 tu!SG mchezaji bora wa EPL yy hajawahi,SG mchezaji bora kwenye fainali za CL,FA na Carling Cup yy hajawahi!SG bronze nominee wa Ballon yy hata 100 bora hajawahi itwa Uswis

Hizi ni fact sip porojo!Otherwise polls zako zionyeshe zimetoka credible source kama FIFA au FA
 
Last edited by a moderator:


you are st.upid A-HOLE....

I said in few posts above...IM DONE WITH THIS DISCUSSION and i stopped posting until one wanker quote me with a stupid comment like yours!!!
 
Reactions: Nzi
No any player caming to lfc this January...na kwa haraka ukiangalia usajili WA br January siyo mbaya...countihno...sturridge all perfect
 

Hahahaaa! Love it...

Anyways, kumbe tuna "le voyeur" wengi tu, siyo Wenger peke yake....

 
Michael Carrick kwenye WC ya 2010 alikuwepo kwenye kikosi cha England lakin hakucheza hata dk 1..

2014 akapigwa CHINI kabisa..

Afu kitu cha msingi ambacho itabid ukijue ni kwamba *only manure united fans rates Carrick*


carrick????...daah ata dumayo yuko juu ya carrick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…