King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,470
- 7,479
Liverpool won 6 goals UCL jana.
Great kuona Barcola akifungua and smiling Jana.
YNWA
Kweli kabisa dogo mechi muhimu EPL amekua sio kwa sasa. Kocha anamtetea ni mgeni pia hakuna na preseason nk nk hivyo tuwe na subira mazuri yanakuja , muda utasema kama mwalimu yupo sahihi. Hii hat trick itampa kujiamini zaidi.Haya Magoli tunayataka afunge kwenye Mechi Muhimu sio asubiri Timu ambazo hazionekani hata kwenye ChatGPT ndiyo atambe! Anyway niliwahi kujiuliza how PSG watuuzie best player? Mbona kama kuna kitu hakipo sawa hivi.
Hivi Konate aliwai kushinda hii tuzoππππView attachment 3692008
Jeremy Jacquet has won the Standard Chartered Men's Player of the Month award ππ
πππHaya Magoli tunayataka afunge kwenye Mechi Muhimu sio asubiri Timu ambazo hazionekani hata kwenye ChatGPT ndiyo atambe! Anyway niliwahi kujiuliza how PSG watuuzie best player? Mbona kama kuna kitu hakipo sawa hivi.
Na nyie Man yuuu mna miaka mingapi??Nyie mnaniaka 30 tena kupata EPL.
MkuuNa nyie Man yuuu mna miaka mingapi??
Brentford mlimfunga kwasababu ya red cardView attachment 3693432
The EPL Bermuda Triangle, two down and one to go π€πΌπ