Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sometimes huwa nafikiri kuwa Kuna mashabiki wa manchester utd na Arsenal wapo kwenye board yetu pale LFC...maamuzi yao yamekuwa Shocking sana..

Imagine wanting to sell Lucas!!!!!

Hii club inaelekea wapi??..legends wanaondoka kila kukicha...

Nilisema mimi BR anajaribu kuziondoa signing za Benitez pale LFC, kuna haja gani ya kumuuza LUCAS??? SG anaenda MLS, Lucas nae anataka kuuzwa, team itabaki na "wakubwa" gani??

Point ya kumuuza Lucas ni ipi?? Kisa Allen???
 
Form With Lucas Leiva: WLWWWDDWWDW

Form Without Lucas Leiva: LWLDWDLLLL....And we're selling him, BR and his shitty stuff are ruining our CLUB...

We're linked with Delph and Milner, sitoshangaa kama ndo zitakuwa replacements za Lucas na SG...

Tunaoffer Bid za kipuuzi, tunaoffer wages za kipuuzi, ndiyo maana tunakimbilia kwa wachezaj wa kiingereza coz wanairate LFC higher...wanakubali kuja tu hata kwa wages ndogo...
 

HAWEZI muuza Lucas Leiva
Leiva ndiyo mido wetu kwa sasa na kwa kipindi kirefu kinachokuja
 
HAWEZI muuza Lucas Leiva
Leiva ndiyo mido wetu kwa sasa na kwa kipindi kirefu kinachokuja

Nasubiri nione uthibitisho wa kina Barret na Pearce...

Lakin mpaka sasa it seems he's off to inter..
 
Malafyale anachotaka kukifanya BR ni kumuuza Lucas ili amrudishe yule ----- wake Lovren kwenye team..coz kwasasa katika back3 ile hawez kumweka bench Sakho, Skritel au kumdrop CAN, so ili Lovren acheze ni itabid mtu mmoja apungue kwenye kiungo ili CAN arud kwenye midfield, na lovren arud kwenye backline,

Lakin selling LUCAS ni mistake kubwa sana..
 
Last edited by a moderator:
BR badala ya kutuletea striker yy anakazania keeper!Priority ya kwanza iwe striker then keeper
 
Nasubiri nione uthibitisho wa kina Barret na Pearce...

Lakin mpaka sasa it seems he's off to inter..

Akimuuza Lucas kwa kiwango hiki anacho onyesha mashabiki watamuondoa BR nakuhakikishia!Mabango ya kumtokuwa na imani nae yatakuwa kila mahali!

Mkuu mbona kipindi cha kwanza tumecheza soka la hali ya juu sana lkn kipindi cha pili yena Sunderland wakiwa pungufu walituzidi mno?

Tatizo nini lilikuwa:
 


Kipindi cha kwanza ni kutokana na ambushi za SG pale mbele, lakini baada ya kutoka tual mambo yaliharibika
 

Ni baada ya kutoka SG ndio balaa likaanzs
 

2nd half BR alitaka kulinda goal na kucheza counters tu..

Hatuna ST wa maana wa kutufanya tujiamini kucheza attacking football muda wote, ndo maana huwa BR anataka magoli ya mapema sana ili kupunguza presha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…