Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hongereni watani kwa droo ila mkienda kwao itabidi mkaze sana,ila mmecheza vizuri sana mlistahili ushindi kabisa umaliziaji tatizo.

Majogoo tulikuwa bora dimbani!Akirudi Dan hawa tunawaondoa kwenye mashindano yyt yale ya mtoano
 
Chelsea was the second best team on the pitch!

Majogoo walitawala dimba hao akina Costa,Hazard na William na Fabrigas wanaruka ruka tu dakika 90

Kwa hiyo na wale Totenhm waliotupiga 5 watasemaje?
Mmecheza vizuri ndio lakini just one good game against chelsea haiwezi kukufanya useme unakaribia kuwa bingwa wa E.P.L..
 
Chelsea was the second best team on the pitch!

Majogoo walitawala dimba hao akina Costa,Hazard na William na Fabrigas wanaruka ruka tu dakika 90

Kocha alifahamu ni kiasi gani mchezo utakua mgumu na ni kiasi LFC wamekania mchezo kutokana LFC kutaka kufuta uteja ndio maana timu imecheza kwa umakini na defensive game wakati wote.

Mkija darajani tunawafunga kabisa na huu mpira au hichi kiwango mlichokionyesha leo Darajani hamtoweza kukifikia.....BR lazima aje na approach ya kulinda goli. Mark my words mkuu.
 
Hakuna defense hapo, liver haina striker tu
 
Haina haja ya kubishana ktk hili.............napokea maoni yako.

Possession
Liverpool 62%~ Chelsea 38%

Shots
Liverpool 19 ~ Chelsea 2

Shots on target
Liverpool 6 ~ Chelsea 1

Corners
Liverpool 7 ~ Chelsea 0

Fouls
Liverpool 5 ~ Chelsea 13
 
Possession
Liverpool 62%~ Chelsea 38%

Shots
Liverpool 19 ~ Chelsea 2

Shots on target
Liverpool 6 ~ Chelsea 1

Corners
Liverpool 7 ~ Chelsea 0

Fouls
Liverpool 5 ~ Chelsea 13

ok. liver wameshinda. tukutane stamford bridge mwisho wa mwezi. leo chelsea wamecheza kigoigoi wakireserve nguvu kwa ajili ya man city. ukimuona simba kalala nenda umchezee sharubu uuone moto wake.
 
Kwa hiyo na wale Totenhm waliotupiga 5 watasemaje?
Mmecheza vizuri ndio lakini just one good game against chelsea haiwezi kukufanya useme unakaribia kuwa bingwa wa E.P.L..

Chelsea kama nan???

bcoz u just having one good season???
 
Kocha alifahamu ni kiasi gani mchezo utakua mgumu na ni kiasi LFC wamekania mchezo kutokana LFC kutaka kufuta uteja ndio maana timu imecheza kwa umakini na defensive game wakati wote.

Mkija darajani tunawafunga kabisa na huu mpira au hichi kiwango mlichokionyesha leo Darajani hamtoweza kukifikia.....BR lazima aje na approach ya kulinda goli. Mark my words mkuu.

LFC hawakupania kushindwa, kama unaijua team yako since Maurinho era kipind kile 2004's akija Anfield huwa anacheza Counter Attack tu, leo mbinu zake zimefeli...BR kakosa ST tu pale mbele..

Weka unazi pembeni..
 
Na kitu kingine BR hajawahi kucheza mpira wa kuzuia tangu kaanza kufundisha mpira..

the thing hizi, defense ya LFC imekuwa na Nidhamu ya hali ya juu kwa sasa...

3-4-3...Pace mwanzo mwisho...Danny akirud atabadilisha kila kitu..the 2nd best ST kwenye EPL last season..
 
Kitu kingine, kwangu mimi naona BR has turned things around...

tumpe kudos pia!!! he deserve it..

Tunakosa ST tu pale mbele..

Me napenda kuona BR akiwa anasikiliza ideas za wenzake na some legends, Well, it worked Aisee!!

lets hope, it remains this way!!

DANNY akirudi, itakuwa balaa..manake posts zake twitter na insta zinaashiria kuwa ana HASIRA sana!!!!
 
ok. liver wameshinda. tukutane stamford bridge mwisho wa mwezi. leo chelsea wamecheza kigoigoi wakireserve nguvu kwa ajili ya man city. ukimuona simba kalala nenda umchezee sharubu uuone moto wake.

kigoi goi ungeweka full squad???
 
kigoi goi ungeweka full squad???

Mourihno alikuja kumaliza game Anfield apate ushindi mkubwa ili week ijayo achezeshe akina Salah tu

Kumbuka atacheza na sisi Jumanne then Jimamosi acheze decisive match na Man City!Itabidi mechi zote hizi mbili achezeshe kikosi chake kamili

Mbinu zake leo zimeshindwa!Sakho na Skrtel daaah wamewafanya akina Costa leo wawe tu wanakimbia
 
Back
Top Bottom