Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
ok. liver wameshinda. tukutane stamford bridge mwisho wa mwezi. leo chelsea wamecheza kigoigoi wakireserve nguvu kwa ajili ya man city. ukimuona simba kalala nenda umchezee sharubu uuone moto wake.
Mourihno alikuja kumaliza game Anfield ili week ijayo achezeshe akina Zouma!
Mbinu zake leo zimebuma na Liverpool walikuwa wazuri zaidi


