Just a matter of time kuwa mabingwa wa EPL
seriously !?
Hongereni watani kwa droo ila mkienda kwao itabidi mkaze sana,ila mmecheza vizuri sana mlistahili ushindi kabisa umaliziaji tatizo.
Chelsea was the second best team on the pitch!
Majogoo walitawala dimba hao akina Costa,Hazard na William na Fabrigas wanaruka ruka tu dakika 90
Chelsea was the second best team on the pitch!
Majogoo walitawala dimba hao akina Costa,Hazard na William na Fabrigas wanaruka ruka tu dakika 90
Kocha alifahamu ni kiasi gani mchezo utakua mgumu na ni kiasi LFC wamekania mchezo kutokana LFC kutaka kufuta uteja ndio maana timu imecheza kwa umakini na defensive game wakati wote.
Mkija darajani tunawafunga kabisa na huu mpira au hichi kiwango mlichokionyesha leo Darajani hamtoweza kukifikia.....BR lazima aje na approach ya kulinda goli. Mark my words mkuu.
Hakuna defense hapo, liver haina striker tu
Majogoo tulikuwa bora dimbani!Akirudi Dan hawa tunawaondoa kwenye mashindano yyt yale ya mtoano
Haina haja ya kubishana ktk hili.............napokea maoni yako.
Ni kweli mlitawala ila hamna technique za kuleta mabao,hamna striker wazuri.
Nakosa sana amani kuwa officiated na martin Atkinson
Possession
Liverpool 62%~ Chelsea 38%
Shots
Liverpool 19 ~ Chelsea 2
Shots on target
Liverpool 6 ~ Chelsea 1
Corners
Liverpool 7 ~ Chelsea 0
Fouls
Liverpool 5 ~ Chelsea 13
Kwa hiyo na wale Totenhm waliotupiga 5 watasemaje?
Mmecheza vizuri ndio lakini just one good game against chelsea haiwezi kukufanya useme unakaribia kuwa bingwa wa E.P.L..
Kocha alifahamu ni kiasi gani mchezo utakua mgumu na ni kiasi LFC wamekania mchezo kutokana LFC kutaka kufuta uteja ndio maana timu imecheza kwa umakini na defensive game wakati wote.
Mkija darajani tunawafunga kabisa na huu mpira au hichi kiwango mlichokionyesha leo Darajani hamtoweza kukifikia.....BR lazima aje na approach ya kulinda goli. Mark my words mkuu.
ok. liver wameshinda. tukutane stamford bridge mwisho wa mwezi. leo chelsea wamecheza kigoigoi wakireserve nguvu kwa ajili ya man city. ukimuona simba kalala nenda umchezee sharubu uuone moto wake.
kigoi goi ungeweka full squad???