Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ok. liver wameshinda. tukutane stamford bridge mwisho wa mwezi. leo chelsea wamecheza kigoigoi wakireserve nguvu kwa ajili ya man city. ukimuona simba kalala nenda umchezee sharubu uuone moto wake.

Mourihno alikuja kumaliza game Anfield ili week ijayo achezeshe akina Zouma!

Mbinu zake leo zimebuma na Liverpool walikuwa wazuri zaidi
 
katunyima penalty ya wazi kabisa...costa kaangushwa ndani ya eneo la danger zone, yeye akapeta.

Costa alikaa chini akaushika mpira ndani ya 18 yake!Ile ilikuwa penalty ya wazi kabisa kwa Liverpool
 
Chelsea jana walikuwa wanautafuta mpira bila kuuona pini analopiga Lucas siku hizi halina mpinzani.

Zile movement pale mbele za coutinho, markovic na sterring ziko vizuri wakizoeana vizuri itakuwa hatari kwa wapinzani

SG jana kafanya vitu vya hatari lile shuti alilopangua courtious lilinikumbusha enzi zake alipokuwa kwenye peak
 
Watu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,hongereni bao zuri sana

Mtani nasikitika hili goli sikulishangilia maana tanesco walifanya yao, huyo sterring alivyo kimbia na msitu wa mabeki. Sijui alienda kuchukua kakizizi kwa babu kule Jamaica teehee teeehe
 
Possession
Liverpool 62%~ Chelsea 38%

Shots
Liverpool 19 ~ Chelsea 2

Shots on target
Liverpool 6 ~ Chelsea 1

Corners
Liverpool 7 ~ Chelsea 0

Fouls
Liverpool 5 ~ Chelsea 13

Duh!! Kiukweli Liver mlipaswa kumaliza huu mchezo jana ile ile basi pale mbele mlikosa mmaliziaji mtundu na m'bunifu na mwenye njaa
 
Sielewi JT alikuwa anafanya nini kwa Raheem. Huu sio mpira kabisa. Perhaps angemng'ata kunako kengele............
 

Attachments

  • STERLING VS TERRY.jpg
    89.5 KB · Views: 119
  • jt5.jpg
    36.9 KB · Views: 110
  • jt4.jpg
    38.6 KB · Views: 105
  • jt3.jpg
    63.5 KB · Views: 111
  • jt2.jpg
    43.8 KB · Views: 111
  • jt1.jpg
    44.8 KB · Views: 111
Mtani nasikitika hili goli sikulishangilia maana tanesco walifanya yao, huyo sterring alivyo kimbia na msitu wa mabeki. Sijui alienda kuchukua kakizizi kwa babu kule Jamaica teehee teeehe

Ohh!! Pole sana mtani itabidi ucheki marudio,kale kabao nilikashangilia kwa nguvu zote utafikiri nilikuwa Old Trafford...
Sterring jana alikuwa mtaam...kiukweli jana mlicheza vizuri sana mlikosa striker tu, mabao mengi ya wazi mliyakosa.
 

Mmetoa draw kwenu halafu mnshangilia , siwaelewi hata kidogo
 
Ohh!! Pole sana mtani itabidi ucheki marudio,kale kabao nilikashangilia kwa nguvu zote utafikiri nilikuwa Old Trafford...
Sterring jana alikuwa mtaam...kiukweli jana mlicheza vizuri sana mlikosa striker tu, mabao mengi ya wazi mliyakosa.

Hahahaaa mtani amekuwa kama mcharo nini......?

Akirudi sturidge mtani aaargh mbona mtaielewa lfc tutapata mashabiki wengi sana

Lile goli ni real amazing
 
"I think it was a fair result. Liverpool did not deserved to win this game, but we were in Control" Mourinho

..what what what!? You stupid MORON!!!!
 
Mwenye taharifa ya benzema na liverpool atuletee hapa wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…