They're still favourites to win EPL, but cha moto leo wamekiona. Mpira umekwisha
BAK - title itakuwa wide open kama Liver ashinde next gemu, halafu Manu atoe droo tu.
Liver next gemu (home) dhidi ya Aston Villa. Manu next gemu (away) wanacheza na Fulham. Na Fulham wana ubavu wa kulazimisha droo nyumbani kwao.
BAK - title itakuwa wide open kama Liver ashinde next gemu, halafu Manu atoe droo tu.
Liver next gemu (home) dhidi ya Aston Villa. Manu next gemu (away) wanacheza na Fulham. Na Fulham wana ubavu wa kulazimisha droo nyumbani kwao.
Mwana kweli mnaweza kushinda ila MTOTO HATUMWI DUKANI TRAFFORD. Sisi Man Utd kila upande wa uwanja ule kwetu ni KIBLA yaani popote tunaweza kuendesha sala na waaumini wakafuata
QM hiki kipigo cha leo ndio kitaipa Man morali ya kuchukua Premier league
Ubingwa tayari umeshaenda OT kama Liverpol wangejipanga mapema msimu huu wangechukua kombe but wamechelewa
Justin.tv - FUTBOL TOTAL: sports soccer futbol total canal mundial
Justin.tv - Canal de tv_ligaeuropeas: sports soccer sculas links insultos raciales ofensivos spam
liverpool leo wanatishia title "yetu"; i hope tutawala tu, eventually.
leo wa kuliwa ni manu tu si mwingine 3-1 zikiwa zimebaki dakika 10
wanainuka wanainama wanaona haya haoooooo. kipigo safi sana 4-1 duhhhh! Saf leo aibu tupu!!!!
tatizo lao waliinama wakiwa uchi watu wakaona mambooooooooooooz
bizz az usual........!
smile to liv fans!!!!!!!!!!!!!!!
QM, umeshamuona nyati aliyejeruhiwa? Ogopa bro. SAF atakavyowatukana wachezaji wake leo basi siku hiyo Fulham inabidi wangangamae kweli vinginevyo MANU watamalizia hasira zao za leo kwao. Lakini wakiweza kutoa draw na L'pool kushinda basi tutakuwa tumehakikishiwa ushindani mkubwa mpaka mwisho wa msimu na siyo watu kutawazwa kama mabingwa miezi miwili kabla ya msimu kwisha.