BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Motivation ya kushinda kwa L'pool leo ni kubwa sana maana wanajua ushindi huo utaacha pengo la point moja tu kati yao na MANU. Na MANU sasa hivi wanaonekana wamesambaratika kwa kupoteza mechi mbili mfululizo kitu ambachi hakijawahi kutokea hivi karibuni. Mara ya mwisho kupoteza mechi mbili mfululizio ilikuwa ni katika msimu wa 2005. L'pool wajitahidi kujivunia magoli mengi maana kuna uwezekano tofauti ya magoli ndiyo ikaamua ni nanni mshindi wa msimu huu.