Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Motivation ya kushinda kwa L'pool leo ni kubwa sana maana wanajua ushindi huo utaacha pengo la point moja tu kati yao na MANU. Na MANU sasa hivi wanaonekana wamesambaratika kwa kupoteza mechi mbili mfululizo kitu ambachi hakijawahi kutokea hivi karibuni. Mara ya mwisho kupoteza mechi mbili mfululizio ilikuwa ni katika msimu wa 2005. L'pool wajitahidi kujivunia magoli mengi maana kuna uwezekano tofauti ya magoli ndiyo ikaamua ni nanni mshindi wa msimu huu.
 
Mechi ya leo lazima tuue baada ya kuwakunguta vigogo wa dunia Manu na Real , tupeni chaneel ambayo mechi inaonyeshwa live

Nenda kwenye hii site hapo chini. Katikati ya page utaona list ya mechi zote wanazoonyesha. Tafuta Liver V Aston Villa

http://nkora.net/
 
kama walivyotunguliwa Man U goli la nne,...(long ball from Reina)....

Liverpool 2 - 0 A' ViLLA
 
Kitu kimoja nimegundua Pepe Reina ni kipa mzuri anayeweza kutengeneza magoli mwenyewe. Hii move nimeona kaifanya mara kibao
 
Oh boy.....kama naziona nne,tano, sita vile.....
 
3-0 L'pool wako mbele

...aah... mimi nishaacha kuhesabu!...

nasubiria dakika ya tisini niende jukwaa la Man U nikawapigie kelele
...we (Gunners) are off the hook angalau, au sio bro BaK ...pheeeeeeeeeewww!
 
mmh! Hao liverpool mbona wanaizidishia presha man utd sasa?!

...mnnnh?!, ...mimi naona wewe Belinda, tena kwa makusudi ndio unawazidishie presha hao Man U 😀😀😀

mie 'chichemi, - Chimo!!!'
 
Oh boy.....kama naziona nne,tano, sita vile.....

...aaaaah, hapana msiwafanyie hivyo... kwani Netiboli hiyo? BTW, A' ViLLA hawajafanya kibri kama Man U!

...anyway, watungueni tu, mwisho wa ligi kuna uwezekano bingwa akaamuliwa kwa idadi ya magoli 🙂
 
...mnnnh?!, ...mimi naona wewe Belinda, tena kwa makusudi ndio unawazidishie presha hao Man U 😀😀😀

mie 'chichemi, - Chimo!!!'

hata mie simo kabisaa, ha ha ha! ila mambo magumu sasa maana gap ya points imepungua kama siyo kuisha kati ya timu pinzani( man utd, liverpool na chelsea)..
Baaada ya mechi hii wewe ndo utawachanganya zaidi wapenzi wa mashetani wekundu tena ikiwa liverpool wameshinda!
 
...aaaaah, hapana msiwafanyie hivyo... kwani Netiboli hiyo? BTW, A' ViLLA hawajafanya kibri kama Man U!

...anyway, watungueni tu, mwisho wa ligi kuna uwezekano bingwa akaamuliwa kwa idadi ya magoli 🙂

Si nilisema......cha nne kimemea...myuuuuuuu!!!!
 
Congrats Benitez na wanaLiverpool, tunawasubiri next month kwenye CL sijui kama mtachumoa kwa Guus
 
tano!!!!!!!!!! mnh! 🙁
 
Oh boy.....kama naziona nne,tano, sita vile.....

Nne - vizuri
Tano - vema
Sita - vema sa.... oops bado tunafanyika kazi

Oh well, kusema ukweli ushindi huu mkubwa wala siufurahii sana. I always envy Aston Villa. Hawastahili kipigo hiki.
 
Nne - vizuri
Tano - vema
Sita - vema sa.... oops bado tunafanyika kazi

Oh well, kusema ukweli ushindi huu mkubwa wala siufurahii sana. I always envy Aston Villa. Hawastahili kipigo hiki.

...oh umeona eeh?, thanks God nawe simanzi imekuingia, told you so...

...aaaaah, hapana msiwafanyie hivyo... kwani Netiboli hiyo? BTW, A' ViLLA hawajafanya kibri kama Man U!

...anyway, watungueni tu, mwisho wa ligi kuna uwezekano bingwa akaamuliwa kwa idadi ya magoli 🙂
 
Sasa hivi L'pool vipigo vyao ni vya magoli manne manne na kama hukuangalia inaweza ikawa zaidi. Kufunga goli 13 katika mechi tatu na timu za juu Ulaya si kazi ndogo.
 
Back
Top Bottom