Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

They're still favourites to win EPL, but cha moto leo wamekiona. Mpira umekwisha

BAK - title itakuwa wide open kama Liver ashinde next gemu, halafu Manu atoe droo tu.

Liver next gemu (home) dhidi ya Aston Villa. Manu next gemu (away) wanacheza na Fulham. Na Fulham wana ubavu wa kulazimisha droo nyumbani kwao.
 
Congratulation to the KOP,today u deserve to win
but i hope will bounce back to retain our title
 
BAK - title itakuwa wide open kama Liver ashinde next gemu, halafu Manu atoe droo tu.

Liver next gemu (home) dhidi ya Aston Villa. Manu next gemu (away) wanacheza na Fulham. Na Fulham wana ubavu wa kulazimisha droo nyumbani kwao.

A humiliating defeat indeed! Has not happened in 17 years!
Leo nimeamini "siku ya kufa nyani miti yote huteleza"
Na ferguson naye vipi, angewaweka scholes, giggs and berbatov, badala ya teves, anderson na park ji sung! au mambo ya majuto ni mjukuu!

Hata hivyo mahisabu yako ni wrong kwani you have not taken into account Man Utd wana game mmoja in hand!
 
QM hiki kipigo cha leo ndio kitaipa Man morali ya kuchukua Premier league
Ubingwa tayari umeshaenda OT kama Liverpol wangejipanga mapema msimu huu wangechukua kombe but wamechelewa
 
BAK - title itakuwa wide open kama Liver ashinde next gemu, halafu Manu atoe droo tu.

Liver next gemu (home) dhidi ya Aston Villa. Manu next gemu (away) wanacheza na Fulham. Na Fulham wana ubavu wa kulazimisha droo nyumbani kwao.

QM, umeshamuona nyati aliyejeruhiwa? Ogopa bro. SAF atakavyowatukana wachezaji wake leo basi siku hiyo Fulham inabidi wangangamae kweli vinginevyo MANU watamalizia hasira zao za leo kwao. Lakini wakiweza kutoa draw na L'pool kushinda basi tutakuwa tumehakikishiwa ushindani mkubwa mpaka mwisho wa msimu na siyo watu kutawazwa kama mabingwa miezi miwili kabla ya msimu kwisha.
 
BAK unaongea ukweli Mr Ferguson atawakoromea vijana kinachofuatia ni ushindi game 7 au 8 na ligi itakuwa imeisha
 
Mwana kweli mnaweza kushinda ila MTOTO HATUMWI DUKANI TRAFFORD. Sisi Man Utd kila upande wa uwanja ule kwetu ni KIBLA yaani popote tunaweza kuendesha sala na waaumini wakafuata

Uzuri wa kibla haichagui imm'am... kwa hiyo leo tumesali rak'ka nne pale chini ya rafa

for sure manure got the vibe
 
QM hiki kipigo cha leo ndio kitaipa Man morali ya kuchukua Premier league
Ubingwa tayari umeshaenda OT kama Liverpol wangejipanga mapema msimu huu wangechukua kombe but wamechelewa

Aisee correction.. sio kipigo cha leo, sema hiviiii KIPIGO CHA MBWA MWIZI SINCE 1992 BANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
mwaweza mkanisaidia link amabyo naweza kuona hiyo match jamani recorded.

Mtandao wangu hapa nilishindwa kabisa kuona na server za TV online naona zililemewa leo.

Any help please.
 
bizz az usual........!
smile to liv fans!!!!!!!!!!!!!!!
 
tatizo lao waliinama wakiwa uchi watu wakaona mambooooooooooooz

jamani, any link 4 recorded match please, naombeni nishuhudie kilichotokea jamani. niliangalia dakika 3 tu streams zikanikatikia.

please, please.
 
Current Actve Users Viewing this thread 16.....6 members and 10 Guest!

Duh!, wakuu hongereni...leo mmetutembezea kichapo, tena sio cha kitoto!
 
bizz az usual........!
smile to liv fans!!!!!!!!!!!!!!!

Duh na wewe umo humu?

Ushabiki wa mpira umeanza lini?, i thought wewe ni mtaalam wa yale mambo ya 'kijijini' pale juu.
 
QM, umeshamuona nyati aliyejeruhiwa? Ogopa bro. SAF atakavyowatukana wachezaji wake leo basi siku hiyo Fulham inabidi wangangamae kweli vinginevyo MANU watamalizia hasira zao za leo kwao. Lakini wakiweza kutoa draw na L'pool kushinda basi tutakuwa tumehakikishiwa ushindani mkubwa mpaka mwisho wa msimu na siyo watu kutawazwa kama mabingwa miezi miwili kabla ya msimu kwisha.

Mkuu BAK,,

Inaweza pia ikawa mwanzo wa downturn ya ManU...mpira una maajabu yake

mi nilidhani KOP wangelemaa tena kama kawaida yao baada ya kushinda mechi ya CL lakini leo wamegeuka mbogo

'rant' ya Benitez naona imekuwa kweli leo manake wangeshinda hao jamaa sijui benitez angekuwa wapi,, japo jana SAF alikuwa amemmchokoza tena kama hapa
 
mimi sio mshabiki wa bwawa la maini lakini leo wamenikosha, hivi tokea mwanzo wa ligi walikuwa wapi? hongera liverpool
 
Back
Top Bottom