Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kutoka kwa Sakho kumewapa jamaa chance ya kupambambana na watu wasio na nguvu
 
leo nimempenda coutinho,nadhani atakuwa man of the match leo angalau mimi nashabikia chelsea.
 
Hii game sidhani kama tutapata matokeo yeyote humu, BR kanya sub zisizo na manufaa Balotelli atafute timu nyingine tu
 
Kutoka kwa Sakho kumewapa jamaa chance ya kupambambana na watu wasio na nguvu

Sakho alikuwa anakaa kwenye njia zao na mara nyingi alikua anatibua safari zao. Kumtoa ni hasara kwenye ulinzi. Kweli hakuwa akitembea sana uwanjani, lakini alifunga njia.
Ova
 
Sakho alikuwa anakaa kwenye njia zao na mara nyingi alikua anatibua safari zao. Kumtoa ni hasara kwenye ulinzi. Kweli hakuwa akitembea sana uwanjani, lakini alifunga njia.
Ova

Umeona eeeh ila kaumia sasa dah!!Alafu aliwaweza kwenda nao hewana na mwili tho performance yake haikua nzuri vijimakosa viingiii

wakuu misichek gemu but nahisi atoke gerrard aingie lalana ili awakimbize sana....au vp?
 
Saw it coming. Chelshit 1. Naenda kulala sasa. It was an entertaining game for the neutral.
 
Nilijua tutafungwa goli la namna hii tumepoteza powerful man wa kuruka nao juu kwenye set pieces
 
wakuu misichek gemu but nahisi atoke gerrard aingie lalana ili awakimbize sana....au vp?

Gerrard alikuwa wa kutoka muda mrefu sana, ameshachoka. Yupo kwa ajili ya kupiga faulo na kona tu. Naona kama Liverpool bado ina mabao zaidi ya kupigwa hapa.
Ova
 
Gerrard alikuwa wa kutoka muda mrefu sana, ameshachoka. Yupo kwa ajili ya kupiga faulo na kona tu. Naona kama Liverpool bado ina mabao zaidi ya kupigwa hapa.
Ova

daah....basi tuombe kona nyingi na faulo
 
Nilijua tutafungwa goli la namna hii tumepoteza powerful man wa kuruka nao juu kwenye set pieces

Sikutaka kabisa Chelsea washinde hii game. Liverpool ilitakiwa iende half time na bao angalau moja kwa performance waliyoonesha first half.
Ova
 
Tabia za Diego Costa hazijawahi kunivutia hata siku moja, yaani yuko kama mjamzito mwenye kisirani.
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…