Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Now I understand kwa nini kiwango chake hakiko sawa leo. Inawezekana alikuwa na some niggling problem.Sakho out, here comes G Johnson.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now I understand kwa nini kiwango chake hakiko sawa leo. Inawezekana alikuwa na some niggling problem.Sakho out, here comes G Johnson.
Kutoka kwa Sakho kumewapa jamaa chance ya kupambambana na watu wasio na nguvu
leo nimempenda coutinho,nadhani atakuwa man of the match leo angalau mimi nashabikia chelsea.
Sakho alikuwa anakaa kwenye njia zao na mara nyingi alikua anatibua safari zao. Kumtoa ni hasara kwenye ulinzi. Kweli hakuwa akitembea sana uwanjani, lakini alifunga njia.
Ova
Saw it coming. Chelshit 1. Naenda kulala sasa. It was an entertaining game for the neutral.
wakuu misichek gemu but nahisi atoke gerrard aingie lalana ili awakimbize sana....au vp?
Gerrard alikuwa wa kutoka muda mrefu sana, ameshachoka. Yupo kwa ajili ya kupiga faulo na kona tu. Naona kama Liverpool bado ina mabao zaidi ya kupigwa hapa.
Ova
Nilijua tutafungwa goli la namna hii tumepoteza powerful man wa kuruka nao juu kwenye set pieces
If you are watching now he has committed another horrible howler likely to give Chelshit a score..