Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Inatakiwa Fa wa muadhibu kwa intentional rafu anazo cheza zile mbili kwa Skrtel na Can

Costa kafanya vizuri kabisa kwa kucheza hivyo kwa mabeki wahuni na wasio na mchezo mzuri km Skrtel....
 
Sat 9th May

PREM Chelsea 15:00 Liverpool

Karibuni tena darajani tarehe hiyo mje mchukue kipondo kingine.......
 
Costa kafanya vizuri kabisa kwa kucheza hivyo kwa mabeki wahuni na wasio na mchezo mzuri km Skrtel....

Leo anafungiwa games 3 sasa sijui nani mhuni hapo!Costa EPL haiwezi ana hasira za hovyo hovyo sana
 
Huyu Costa ni muhuni tu
 
Hakyamama.......... hili chama langu samtaimz linaniboa sana lakini kuliacha siwezi.

LFC ni kama mama kwangu....

Mama haachwi!!
 
Leo anafungiwa games 3 sasa sijui nani mhuni hapo!Costa EPL haiwezi ana hasira za hovyo hovyo sana

Hatuna shida ya Strikers ata Ivanovic anafunga na anamagoli zaidi ya Baloteli.
 
Melbourne, that was emotional YNWA. Sometimes, we have to be vocal
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…