Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakosa game ya WestHam, his injury isn't serious though..
So jiandae na GJ au LOVREN..
Lovren hapana heri 4-4-2 Can na SG warudi pale kama Sakho hayupo
Nimesoma kwenye moja ya reliable sources kwamba we're in for Danny Ings! Yaan ni kama pale LFC watu wamerogwa kwa English mediocre players! Dah
Yeah, we're defo' in for Ings Aisee..
Nimeumia sana leo, Moyo umeniuma sana bro..
Hate to say this, but the management and the board inaipeleka team kwenye mediocrity..
inauma sana Aisee.
Ndo timu pekee yenye waingereza wengi na wana regular playing time. Ni kama academy ya England national team vile
Yaani tumefika mpaka kwa Ings Aisee!!!!
inasikitisha sana..
katika utawala wa Ayre na BR tusipoangalia tunashuka daraja au kuwa mid table team ya kudumu! Duh...yaani kuna utumbn BR na wenzie huwa wanafanya kwenye usajili mpaka unabaki na mshangao!! Sasa huyo Ings ana tofauti gani na Borini......
Yaani tumefika mpaka kwa Ings Aisee!!!!
inasikitisha sana..
Ndo timu pekee yenye waingereza wengi na wana regular playing time. Ni kama academy ya England national team vile
Ings anafaa mkuu,atatusaidia ana kila kitu!Nguvu,mbio,stamina,anaruka juu na anapiga
Naunga mkono ununuzi
told you this before!Ningekuwa kwenye management ya Liverpool ningependeza asajiliwe kijana huyu!!
Ana miaka 22 atakuja kuwa world class player huyu mtoto
Mkuu mi naona hawa wachezaji wa Kiingereza wana vilabu vyao, ukimleta LFC anakua itakua ya Carrol na Downing. Hivi tunaanzaje kumpa kipaombele Ings mbele ya mtu kama Lacazette, Icard, Jackson Martinez nk. Mbaya zaidi waingereza ujiuza bei ghali
Lacazette anafaa kama kwa mpira wa LFC..lakin baada ya kujaribu huko, mtu anaenda kukuletea Ings sjui..