Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Today at Melwood training ... nimeipenda hii ... for the future
 
Attachments

  • 1422549948237.jpg
    1422549948237.jpg
    39.7 KB · Views: 72
Nimesoma kwenye moja ya reliable sources kwamba we're in for Danny Ings! Yaan ni kama pale LFC watu wamerogwa kwa English mediocre players! Dah

Yeah, we're defo' in for Ings Aisee..

Nimeumia sana leo, Moyo umeniuma sana bro..

Hate to say this, but the management and the board inaipeleka team kwenye mediocrity..

inauma sana Aisee.
 
Yeah, we're defo' in for Ings Aisee..

Nimeumia sana leo, Moyo umeniuma sana bro..

Hate to say this, but the management and the board inaipeleka team kwenye mediocrity..

inauma sana Aisee.

Ndo timu pekee yenye waingereza wengi na wana regular playing time. Ni kama academy ya England national team vile
 
Yaani tumefika mpaka kwa Ings Aisee!!!!

inasikitisha sana..

katika utawala wa Ayre na BR tusipoangalia tunashuka daraja au kuwa mid table team ya kudumu! Duh...yaani kuna utumbn BR na wenzie huwa wanafanya kwenye usajili mpaka unabaki na mshangao!! Sasa huyo Ings ana tofauti gani na Borini......
 
Ings sio mbaya,ana miaka 22 tu atakuwa World Class Player huyu mtoto nawaambieni
 
Yaani tumefika mpaka kwa Ings Aisee!!!!

inasikitisha sana..

told you this before!Ningekuwa kwenye management ya Liverpool ningependeza asajiliwe kijana huyu!!

Ana miaka 22 atakuja kuwa world class player huyu mtoto
 
Ndo timu pekee yenye waingereza wengi na wana regular playing time. Ni kama academy ya England national team vile

Ings anafaa mkuu,atatusaidia ana kila kitu!Nguvu,mbio,stamina,anaruka juu na anapiga
Naunga mkono ununuzi
 
Ings anafaa mkuu,atatusaidia ana kila kitu!Nguvu,mbio,stamina,anaruka juu na anapiga
Naunga mkono ununuzi

Mkuu mi naona hawa wachezaji wa Kiingereza wana vilabu vyao, ukimleta LFC anakua itakua ya Carrol na Downing. Hivi tunaanzaje kumpa kipaombele Ings mbele ya mtu kama Lacazette, Icard, Jackson Martinez nk. Mbaya zaidi waingereza ujiuza bei ghali
 
told you this before!Ningekuwa kwenye management ya Liverpool ningependeza asajiliwe kijana huyu!!

Ana miaka 22 atakuja kuwa world class player huyu mtoto

hahahahaha!!!

Malafyale ings ni one of the Average players niliowah kuwaona wakicheza mpira..

kuna potential nyingi sana out there..LFC wameenda kwa huyo ings kwa kuwa anauzwa £5m tu...huwez ukawa unagombea mchezaj na team kama AFC bournemouth afu useme atakuwa WC..hana uwezo wa kuja kuwa WC hata afanyaje, coz ni average na hana hadhi ya kuvaa jersey ya LFC, watu ambao hawana hadhi ya kuvaa jersey ya LFC ni wengi sana, kina Lambert, borin, joe Allen etc..kama walikuwa wanataka potential si wangembakiza Pieterson tu tujue moja..

Wenzako wanasajili kina Cuadrado we unahangaika na Ings..afu eti unataka Top4..seriously???

hakuna Ambition yoyote pale LFC, ndo maana Suarez aliamua zake kuondoka...mtu kama Coutinho anasikia kuna mtu anaitwa ings sjui anatakiwa na LFC, we unafkiri anajiskiaje???

tunakoelekea hawa kina Emre Can, Markovic, moreno, Coutinho, Sterling, DS, Sakho etc miaka miwili ijayo tutawapoteza wote, coz hatuna Ambition yoyote ile...
 
Mkuu mi naona hawa wachezaji wa Kiingereza wana vilabu vyao, ukimleta LFC anakua itakua ya Carrol na Downing. Hivi tunaanzaje kumpa kipaombele Ings mbele ya mtu kama Lacazette, Icard, Jackson Martinez nk. Mbaya zaidi waingereza ujiuza bei ghali

Lacazette anafaa kama kwa mpira wa LFC..lakin baada ya kujaribu huko, mtu anaenda kukuletea Ings sjui..
 
[h=1]Liverpool transfer news and rumours: PSG striker Ezequiel Lavezzi back on Brendan Rodgers's radar (The Telegraph)[/h]
 
Some interesting quotes from Paul Clement, Real Madrid's assistant manager, during his interview with London Evening Standard.
When asked about the reports linking Raheem Sterling and Real Madrid, he said: "Real Madrid are always going to be linked with some of the best players and also some of the best emerging young talents.
"My understanding at the moment is that the club and manager's very happy with squad of players - we haven't got a big squad. But it is a squad packed with quality and there are no current plans for ins and outs."
 
ndo maana kina Sterling wanatusumbua hata kwenye kusign mikataba..

Team inaonekana haina Ambitions zozote zile..

Balotelli is miles better than Ings, na hana number kikosi cha kwanza, asa huyo ings wa nn???

na kwann uhitaji ST anayechipukia wakat ST wako namba moja ni kama kaumbwa na tricing paper?? muda wowote ule anaumia..
 
Hili wazo la kumnunua Ings kwa 3m pnd na kumuacha kwa mkopo uko Turf Moor kwa mkopo Kopites wengi linatumix, Dan15 hana dhamana aisee.
 
Back
Top Bottom