Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
hahahahaha!!!
Malafyale ings ni one of the Average players niliowah kuwaona wakicheza mpira..
kuna potential nyingi sana out there..LFC wameenda kwa huyo ings kwa kuwa anauzwa £5m tu...huwez ukawa unagombea mchezaj na team kama AFC bournemouth afu useme atakuwa WC..hana uwezo wa kuja kuwa WC hata afanyaje, coz ni average na hana hadhi ya kuvaa jersey ya LFC, watu ambao hawana hadhi ya kuvaa jersey ya LFC ni wengi sana, kina Lambert, borin, joe Allen etc..kama walikuwa wanataka potential si wangembakiza Pieterson tu tujue moja..
Wenzako wanasajili kina Cuadrado we unahangaika na Ings..afu eti unataka Top4..seriously???
hakuna Ambition yoyote pale LFC, ndo maana Suarez aliamua zake kuondoka...mtu kama Coutinho anasikia kuna mtu anaitwa ings sjui anatakiwa na LFC, we unafkiri anajiskiaje???
tunakoelekea hawa kina Emre Can, Markovic, moreno, Coutinho, Sterling, DS, Sakho etc miaka miwili ijayo tutawapoteza wote, coz hatuna Ambition yoyote ile...
kweli kabisa, ings ni level ya akina ibe, ojo na origi... just how many of mediocre players can we stock?