Daaah! Huu mwezi haujakaa vizuri...
WED 4
BOLTON VS LIVERPOOL
SAT 7
EVERTON VS LIVERPOOL
TUES 10
LIVERPOOL VS TOTTENHAM
SAT 14 (Kama tukipita kwa Bolton)
CRYSTAL PALACE VS LIVERPOOL
THUS 19
LIVERPOOL VS BESIKTAS
SUN 22
SIUTHAMPTON VS LIVERPOOL
THUS 26
BESIKTAS VS LIVERPOOL
Luckily, we now have bigger squad compare to the last season...
Just hoping kwamba form ya liverpool itaendelea hvo hvo +pace ya maana na goal scoring mbna hizi games tutashinda tu,
Tunafahamu BR likes tiki-taka with pace like you have mentioned lakini kwa upande wangu ningependa kuona time to time our team changes the tactics by containing and expose the opponents wanapokua wamejisahau.
Kama tutatumia pia mbinu ya kucheza calmly watu kama Kolo, rickie, jose, Mario, Manq, Allen, rossiter...watapata game time na wachezaji wenye kutegema speed will have time kupumzika ili kuepuka majeruhi.
Hiyo michezo ilivyokaa iko very tricky kutokana either mfumo wa mashindano au uchezaji wa timu pinzani au umuhimu wa mchezo wenyewe. Physical game imekuwa ikitutatiza na Bolton will try their luck on that na kujaribu walichokifanya WHU. It was obvious that andy aliamua kutumia nguvu nyingi kuliko akili ndiyo maana he was flying his elbow to every Liverpool player who was near to him. Na matokeo yake alikuja kuumia mwenyewe huku dhumuni likiwa ni kumchezea foul emre. Na tukichezeshwa na refa kama marriner then tutegemee kutokupata decisions tunazostahili.
Against Everton is the derby na hapo mara nyingi tibua tibua ni nyingi kuliko ufundi. Vurumai, kadi nyekundu na majeruhi ni rahisi kupatikana. Ukiweka hayo kando ushindi ni lazima, siyo tu kwaajili ya kutusogeza kwenye top 4 bali pia heshima mjini
I expect gemu yetu na Totten kuwa nzuri yenye kufunguka ila until that day wachezaji wetu watakuwa wanacheza gemu tatu ndani ya siku saba! Sitoshangaa kuona stamina ikiwa kwenye kiwango cha chini na huku upande mwingine naona kama gari la totten nalo limechanganya
Kwa kuwatoa Soton kwenye uwanja wao wa nyumbani haukuwa kazi rahisi na sote tunafahamu kilichotokea last season tulipocheza pale Selhurst Park. Jamaa hawatabiriki
Since style ya michezo ya EUFA appear to be different to local cups and league. Plus BR does not have enough experience of the particular tournaments, its going to be a big challenge for him to translate and manage the system of play from FA to BPL and BPL back to FA then BPL to EUFA back to BPL then EUFA. He has to be very analytical
I hope to see a good game against Soton even though I think the system of play against them might be determined with the kind of results we got on 19th results