Hahahaha... Nshakushtukia tuuu! Poa mkuu, jana walau niliweza kupata nafasi ya kupumua maana Man U walizidi kutubana sana.Hahahahaha Mkuu my side is very well known to everybody who loves football katika jamvi letu mwanana 🙂. Hongera kwa ushindi wenu wa jana 2-0.
Hahahaha... Nshakushtukia tuuu! Poa mkuu, jana walau niliweza kupata nafasi ya kupumua maana Man U walizidi kutubana sana.
Sasa jamaa alimchelewesha Torres wapi? Anyway; labda ndo strategies za ushindi zenyewe hizi
Hakuna kitu kibaya kama kufungwa dakika ya 93 au 94 hivi hahahahahii ngoma jinsi inavyoelekea ni droo tu.
Invisible nina hasira sana na wewe... au mliniban nini? i was very free this weekendHaya bana; ndo hivyo Man City 0 - L'pool 0
Kidogo tunapumuwa sasa lakini kazi ipo last 16.....kuna Fenerbahce au Lille OSC wanatusubiri.....