nadhani haruhusiwi... hii mechi ingemtoa sana
Neil johnston alimnukuu BR kwamba SG ana shida ya hamstring na anahitaji kupumzishwa...au ni magumashi?
Neil johnston alimnukuu BR kwamba SG ana shida ya hamstring na anahitaji kupumzishwa...au ni magumashi?
SG anapumzishwa kwaajili ya Everton, kama ataanza dhidi ya Bolton, basi itakuwa ni kwaajili ya kuongeza motisha kwenye team!!
but target ya BR kuhusu SG, nahis ni Everton..
Mkuu habari za Ings zimefikia wapi? Huyu jamaa sitaki aje aisee
Mkuu habari za Ings zimefikia wapi? Huyu jamaa sitaki aje aisee
Mr. Rickieee!!
Lazima Agome!!
Pearce, King, Barret, Smith, Joyce wote wamereport..
Jamaa anaforce move, Burnley wanataka £5m, LFC wanademand £4m, hela ya Assaid ile, hawatak kuongeza hata senti...
lolote linaweza likatokea Aisee..
Tuombe lisiwezekane!!!
Atanikera sana....... maana iwapo ataondoka basi nahisi BR atampa room Ballo cos I still believe in him kufanya kitu fulani ambacho watu hawata kitegemea