Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ray to the B, the lead has been restored by Torres, teh teh teh heheeeeeeeeeeeeeeeeeee😀😀
 
Thanks ila naona moto wa mancity na totenham haufai, tunaweza kuishia kuwa wa saba mwaka huu

Bwana wee..Yaani ligi ya mwaka huu ni ngumu hasa maana kuna Man City,Tottenham na Aston Villa bila kuwasahau Everton,wote hawa wanaisakanya nafasi ya 4 na ya 5
 
Leo tunacheza na Wigan.......nakumbusha tu mybe wengine wamesahau......
 
Poleni sana wazee wa bwawani kwa kichapo, ndio ukubwa huo!
 
Mna bahati sana hampo mkiani mwa ligi, mwaka huu mngeshuka daraja.
 
poleni sana - kuna rafiki yangu mpenzi wa liverpool sasa amekubali kwamba " Banitez sasa yatosha"
 
kwa kweli jana mpira sikuona lakini nadhani yatosha sasa, Rafa has to go!!!
 
kwa kweli jana mpira sikuona lakini nadhani yatosha sasa, Rafa has to go!!!

mechi ya jana wachezaji nao wanastahili lawama,torres kakosa magoli ya wazi,gerrard kakosa goli 6 yard away,kuyt katoa pass ya goli walilofungwa,all in all benitez na liverpool inabidi wa-divorce,being man utd fan i would love to see him stay forever.
 
waingereza nao hio V sign kwao matusi wakati wengi ni ishara ya ushindi na wale matozi ndio pozi zao.
In UK, it indicates victory when you make the sign with the palm outwards, but when you place your palm inwards (palm facing yourself like in Gerald pic) often accompanied by flicking it upwards, then it's an insulting version of the gesture (a two-fingered salute, which is comparable to "the finger" or "https://jamii.app/JFUserGuide off").
 

https://jamii.app/JFUserGuide the UK,nchi nyingine palm outward/inwards its a victory sign,peace sign,pozi za picha etc
 


Can't look, won't look ... ... Tores feels the strain away to Wigan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…