Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Yeah!

And since mwaka 2015 uanze, LFC have collected more points than any other club in the EPL..

Na most of all, ndo the Most INFORM team in the EPL since january with unbeaten record..(Check the 2015 Inform teams table mate)..

But, Yeah i cant say am even better than Manchester utd coz the table doesn't lie!
 
League table doesn't lie....long ball football kumbe inalipa sana

Hahahaaaaa!

Here's what a real (not fake ones like these who are peeping into this JF exclusive LFC's forum) Red Devil has to say......hahahaaaa!

 

There you are...long ball united is better than Liverpool...league table doesn't lie.
 

Mkuu, yours above has made me think a bit.


Nadhani kuna haja ya kuangalia uwezekano wa kuweka scale of preference kwenye mashindano LFC inayoshiriki kutegemeana na manufaa ya kila moja:

EPL: top 4 (CL football) + money

Europa League: silverware (pride) + CL football + I think money kidogo ipo hapa pia

FA cup: silverware (pride) + an opportunity to win a Community Shield kwenye next pre-season

Kwa hiyo I think permutations za line-ups zilenge kwenye ultimate aim....ni competition gani tunaipa priority? Ningekuwa mimi ningechagua Europa kutokana na manufaa yake tukichukua kombe (which is doable)
 
Hop tunawin hii gem wakuu kikosi allen kaanza naomba hata afunge bao leo nione kama watu wataendelea mponda
 
Liverpool's XI: Mignolet, Skrtel, Can, Sakho, Allen, Henderson, Moreno, Markovic, Coutinho, Lallana, Sturridge.
Substitutes: Ward, Johnson, Lovren, Lambert, Manquillo, Borini, Balotelli.
 
Huyu dogo Dwayne Gayle is very talented, ni typical modern number 9. He has clever movements.

Na kama akipata playing time kama ya Sterling he can be a monster. Beki zetu zisipo kuwa makini atatufunga
 
Huyu refa uwezo wake mdogo kuliko hata wa Israel Mkongo anamzidi
 

Doh! Haki ya mama nyiye Loserfools ni kiboko..hata kama mko bitter na Man United, tumie basi hata akili kidogo ya kuzaliwa nayo! Khaa!!

Na inflation ikishuka je? Au kwa maono yako itapanda mpaka mkataba wa United na Adidas utakapoisha? Ndipo itashuka!?!

Basi, tumalize hivi, deal la Loserfools ndilo bora zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka. Kwa sababu Loserfools wana wachumi bora kuliko vilabu vyote walio-forecast rising inflation rates, ndiyo maana wakalifanya deal liwe la miaka 3 tu. (Source: Anfield's PRO)
 
Last edited by a moderator:
game bado ngumu, liverpool hawajashinda kwenye hii pitch mechi sita mfululizo
 
DS katupia,huyu jamaa tulikuwa tuna m miss sana kwa kweli daah!Mechi na Tots alionyesha anaanza kuwa bora na leo mbali na goli kanyimwa penalty ya bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…