Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Malafyale

Kuna mida huwa unakurupuka sana mazee, nahisi hujafuatilia vizuri tulikoanzia na MosDef katika hili la JS.
Anyway that's my opinion which am entitled to, kama JS ni mediocre so are Kolo Toure, Rickie Lambert, Joe Allen, Lovren and Aspas
Na nani kakudanganya me shabiki wa Manure?
 
Last edited by a moderator:
Janjaweed

My point exactly kuhusu media ya England, wanawajaza sana ujinga hawa watoto na vyenyewe vinavimba vichwa kwelikweli.
Upuuzi huu upo England tu, huwezi kukutana na vitu kama hivi Spain au Germany.
Na kwa hii deal mpya ya TV rights which means more money will be pumped to clubs/players, then kiwango cha soccer la waingereza kinaweza kushuka zaidi ya hapa.
 
My point is clear:Tunasonga mbele sio kwenye wachezaji wenye calibre ya JS

SG na uzee wake ni 100% better than hawa vijana!Anaingia Emre Can kama kiungo mkabaji mambo yanakuwa saafi
 
Strong managers need to come and attack this media hype, Fergie did a good job; he blasted stupid media people, he controlled the youths... Mou did the same wakati ule kwa british players na sasa naona ameamua kuchukua wageni tu, they are easy to manage

BR has to learn something, English contingency inaleta ujinga ujinga tu!!

As for JS debate, I think BR was right, Liverpool need to move over those types of players and took outside to south America German kupata true leaders, kama ana ubavu, we had Xabi who was a true leader, amtafute tu aje amalizie soka pale anfield
 
Janjaweed

Before today, I always thought JS ni product of Liverpool's academy, MosDef alishamaliza mjadala wa JS kwenye post #16979
SAF was a legend when it comes to putting the media in its place, na kuwakata mapembe media darlings kama kina Beckham
Ukiwaacha Mou na Wenger, kocha gani anaweza kwenda toe to toe with the english media?

Makocha wengi wanahofia vibarua vyao na hawana muda na vichwa maji kama kina Wilshare, Morrison, Berahino etc
 
Last edited by a moderator:
Janjaweed

BR izi debate kumuhusu anazitaka yeye mwenyewe...leo tuna sema JS sio type ya liver..vp kuhusu allen alie kuja nae yeye ndo typ ya liver???...lambert??? ...ndo ku move on uko alivoamua...sijui aspas??? origin anajambajamba uko ufaransa et ndo ST wanao mtolea macho ad wakataka wamrudishe dirisha dogo"KWELI???.....BR LIVER SIO SIZE YAKE AENDE AKAPANDISHE TIMU DARAJA APATE SIFA...
 
Last edited by a moderator:
My point is clear:Tunasonga mbele sio kwenye wachezaji wenye calibre ya JS

SG na uzee wake ni 100% better than hawa vijana!Anaingia Emre Can kama kiungo mkabaji mambo yanakuwa saafi

MKUU kama niku songa mbele tuko wote ila sio na uyu BR..aya kamuuza JS af kaja na allen,aspas lambert na rundo la takataka nyingine..KICHWAN MWA BR ANAAMIN UBINGWA HAUNUNULIWI(NA WACHEZAJ WA BEI KAL EG MAN CITY NA CHELSEA)...na ajui kuwa yy hana uo uwezo kwa sababu ajafikia ubora wa kuchukua ubingwa akiwa na wachezaj kama anao taka yeye...akizifunga man city na tot na man u anajua ubingwa unawezekana anasahau timu ziko 20...ajui ni rahisi kuzisoma timu kubwa kuliko iz ndogo ambazo ni nyingi.
 
My point exactly kuhusu media ya England, wanawajaza sana ujinga hawa watoto na vyenyewe vinavimba vichwa kwelikweli.
Upuuzi huu upo England tu, huwezi kukutana na vitu kama hivi Spain au Germany.
Na kwa hii deal mpya ya TV rights which means more money will be pumped to clubs/players, then kiwango cha soccer la waingereza kinaweza kushuka zaidi ya hapa.

wachezaj wa kiingereza wachukue wakiwa watu wa zima,,ukiwa wachukua bado watoto utajuta..nadhan WENGER anajuta. (1) malimbuken (2)wanalazimiashwa na media wafanane na wachezaj wa america ya kusin na wao bila kujitambua wanafikil ni kwel(3)huwa wana msimu mmoja wa ubora au nusu msimu..WANAJITAMBUA WAKISHA KUWA WATU WAZIMA.
 
Before today, I always thought JS ni product of Liverpool's academy, MosDef alishamaliza mjadala wa JS kwenye post #16979
SAF was a legend when it comes to putting the media in its place, na kuwakata mapembe media darlings kama kina Beckham
Ukiwaacha Mou na Wenger, kocha gani anaweza kwenda toe to toe with the english media?
Makocha wengi wanahofia vibarua vyao na hawana muda na vichwa maji kama kina Wilshare, Morrison, Berahino etc

BR has his "arrogant way" of dealing with the media...
 
wachezaj wa kiingereza wachukue wakiwa watu wa zima,,ukiwa wachukua bado watoto utajuta..nadhan WENGER anajuta. (1) malimbuken (2)wanalazimiashwa na media wafanane na wachezaj wa america ya kusin na wao bila kujitambua wanafikil ni kwel(3)huwa wana msimu mmoja wa ubora au nusu msimu..WANAJITAMBUA WAKISHA KUWA WATU WAZIMA.

Bei yao itaiweza? Kama a season wonder tu kama Luke Shaw anauzwa £30m na mshahara wa kufuru, yule Ross Barkley msimu jana tulisikia ana value kama ya £40m, mwaka huu kadrop mbaya, sasa subiri utasikia Harry Kane ana value kama CR7
Ndio maana hawauziki kwao wala nje ya nchi, na wasipoangalia EPL itatawaliwa na wageni zaidi ya ilivyo sasa
 
baada ya kuukosa ubingwa kwa ncha ya kidole nikasema 'YEEEESS' nikijua usajil utakaofata utakua wa atar ukizingatia tumerud UCL but yalio tokea sidhan kama mwana liver yoyote alidhan kama yangetokea.

BR bila kufikil kwa kina kuwa ubingwa pamoja na kuukosa kwa ncha ya kidole haukuwa kwenye malengo yetu ilikua bonus tu,yeye akasahau malengo yote akajua kumbe ubingwa ni rahisi sana akafikia atua ana wakebehi wakina PEREGRIN et wametumia pesa nyingi but yy ajatumia pesa nyingi anatakachukua ubingwa.

akajua liver tatizo ni depth ya kikosi??? akaleta takataka nyingi ad zikamchanganya yy mwenyewe kuzipanga akaanza sema 'MDA NI MCHACHE WA TRAINING' ???..

alipujua kuzipanga mda umeenda sana kutwa tunaomba walio juu wafungwe il tuingie top four utafikil ndo yalikua malengo yetu.??? ..BR???
 
BR izi debate kumuhusu anazitaka yeye mwenyewe...leo tuna sema JS sio type ya liver..vp kuhusu allen alie kuja nae yeye ndo typ ya liver???...lambert??? ...ndo ku move on uko alivoamua...sijui aspas??? origin anajambajamba uko ufaransa et ndo ST wanao mtolea macho ad wakataka wamrudishe dirisha dogo"KWELI???.....BR LIVER SIO SIZE YAKE AENDE AKAPANDISHE TIMU DARAJA APATE SIFA...
Hata Allen, Lambert, Aspas hao ni squad players tu!! Caliber ya JS tofauti, he was already touted to be the best SG na akaamini that he is one of the elites, akasahau kuongeza juhudi na maarifa... He got carried away

Origi was signed kama potential player, same as Moreno, Lazar na Emre!! soccer ni gamble kwa kiasi kikubwa, kumbuka when BR signed Coutinho and Sturridge many of us had little expectations tu!!

I wish tungesaini mtu type ya Marco Reus, ni mpiganaji mwenye uwezo
 
iv malengo yetu yalikuakuchukua potential players tena baada ya kuukosa ubingwa kwa ncha ya kidole na kuwa UCL.BR ye nimtu wa kugamble kila siku ata kupanga wachezaj kwe mechi..iv alijua ubingwa utakuja kwa wachezaj wa kopa cocala alio sajil...
 
I think ilikua ni kubalance experience with potential, watu kama Glen, Gerro, Coutinho, Enrique, Skertel, Kolo, Dan, Balo, Lucas, Hendo walitegemea kublend na a few already made players kama Adam Lallana na Lovren na kusaidia potential players, unfortunately chemistry haijakaa sawa

With Sterling, Ibe, Flanaggan ndani ya timu, expectations zilikua sawa... bahati mbaya sio kila forecast inafanana na results
 
My point exactly kuhusu media ya England, wanawajaza sana ujinga hawa watoto na vyenyewe vinavimba vichwa kwelikweli.
Upuuzi huu upo England tu, huwezi kukutana na vitu kama hivi Spain au Germany.
Na kwa hii deal mpya ya TV rights which means more money will be pumped to clubs/players, then kiwango cha soccer la waingereza kinaweza kushuka zaidi ya hapa.

Mkuu Mourinho

LFC kulikuwa na Dogo anaitwa NEIL MELLOR (utamkumbuka vizuri kwenye ile game ya UCL, LFC Vs OLYMPIACOS - 2004)..

Alikulia kwenye LFC system..

Ukiwakumbusha kina Janjaweed na kina Malafyale utakuwa umewarudisha mbali sana!!

Ni "Diamond" iliyopotea haraka sana!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom