hahahahahahahah!!!
Mkuu
nyangelekene una HASIRA??????????
Mkuu, nyangelekene acha amponde tu BR kafanya blunder kwenye usajili, kwa performance tuliyokuwa nayo sidhani kama kuna mchezaji World class player angekataa kuja?????? Mtu kama Pep Guardiola kwenye interview akasema tunacheza mpira mzuri ile ilikuwa ni compliment tosha ya kuattract players.
1. Fabregas kama BR angetia mguu pale angemchukua kabisa maana Barca walioyesha kutomtaka akataka kurudi Arsenal babu Wenger akafunga vioo kweli kwa mazingira kama hayo kweli angeshindwa kumchukua Fabregas kweli alikubali kwenda chelsea maana alikosa pa kwenda na unakumbuka zile shit alizosema against mourinho na chelsea? Mwisho wa siku BR bado anamkumbatia Allen.
2. Luiz Adriano na Jackson Martinez, mmoja kati ya hawa tulikuwa na chances kubwa ya kumsajili hasa huyu Luiz Adriano wa shankhter Donesk na bei yake isingekuwa kubwa sana ila BR akaenda kwa Balotelli, Lambert na Origi. Sasa hivi ana opportunity ya kmsajili Jovetic maana MP amemu-ommit kwenye squad ya Champsions league sasa sijui BR atamrudisha Aspas??
3. Saga la Sanchez, Falcao na Di malia ulishalielezea vizuri tu humu ndani ila wote hao we had the opportunity to sign them.
4. Mchezaji kama Isco kwa situation aliyokuwa nayo tulikuwa na nafasi ya kumchua kwa bei nafuu sana maana Madrid walikuwa wanataka kum-offload ili wam-accomodate Kroos.
5. Kama BR alikuwa anataka Potential striker na ambaye ange-fit kwenye mfumo ni Morata yule dogo wa madrid his movements, eye for a goal, ku-hold mpira upfront anavyo I rate him higher than Origi any day.
Na tusipo qualify champions league spot hata hawa akina Pjanic, Lacazette, Dybala tuta wasikia Man city, Chelsea, Man utd hata Spurs tutaishia kuwa sajili kwenye transfer rumours tu kama akina Fermino yule mbrazil.
English media inawa-overhype wachezaji wa kiingereza na kujiona wao ni wakubwaaaa kumbe ndo kwanza wapo kwenye process ya kutengenezwa kuwa wakubwa Sterling anakataa kusaini mkataba wa £90k per week wakati Pogba anapewa mkataba mpya na Juve wa £60k kwa week. Waingereza wasipo angalia hizi timu kubwa zitaishia kusajili mabeki tu wa kiingereza kama squad players kama yanayotokea Man city na chelsea.
Japo kuwa sisi ni fans ila tunaona makosa. Msimu uliyopita tulicheza na two strikers, na matokeo tuliyaona, kwanza tension kwa striker mmoja inapungua na pili hatuna striker mwenye akili ya kucheza kama Suarez as a lone striker pale siyo Sturridge wala Balotelli. Ndo maana hata mechi na Crystal Palace kipindi cha kwanza Sturridge alikuwa man marked hakuwa na chances zozote ila baada ya Balotelli kuingia immediately things changed ndo tuka-equalize na kushinda kabisa. Je Brendan kama angeamua kucheza na strikers wa wili mbele baada ya ile game na Spurs kweli tungekuwa wa saba???? Yaani pale mbele angekuwepo Balotelli na Lambert/Borini.
BR should have bold decision siyo young manager tena, Mourinho alichukuwa Uefa na Porto na hakuwa na Fund kama aliyonayo BR. Saa zingine tuna walaumu bure owners hawatoi hela hivi kweli kwa wachezaji kama hawa utakuwa na moyo wa kutoa hela tena??? Allen, Assaidi,Aspas, Luis Alberto*, Borini,Balotelli, tiago Illori*, Lambert, Origi (huyu mi naona ni kama tumeingia chaka tu kuna mechi niliiona akiwa anacheza daaa kweli Potential) na Gerrard anaondoka this time Henderson ndo ata-attract waingereza wenzie kama tukikosa Uefa place. Nayasema Yote haya kwasababu naipenda Liverpool, Epl siyo bundasliga ambapo mtu anaweza panda daraja na kuchukua ubingwa(dortmond na wolfburg)
*- wana potential ila wamekosa playing time tu pale LFC, waliyopata playing time ya kutosha ndo wana ringa sasa akina sterling.