Kuna mida huwa unakurupuka sana mazee, nahisi hujafuatilia vizuri tulikoanzia na MosDef katika hili la JS.
Anyway that's my opinion which am entitled to, kama JS ni mediocre so are Kolo Toure, Rickie Lambert, Joe Allen, Lovren and Aspas
Na nani kakudanganya me shabiki wa Manure?
My point exactly kuhusu media ya England, wanawajaza sana ujinga hawa watoto na vyenyewe vinavimba vichwa kwelikweli.
Upuuzi huu upo England tu, huwezi kukutana na vitu kama hivi Spain au Germany.
Na kwa hii deal mpya ya TV rights which means more money will be pumped to clubs/players, then kiwango cha soccer la waingereza kinaweza kushuka zaidi ya hapa.
My point is clear:Tunasonga mbele sio kwenye wachezaji wenye calibre ya JS
SG na uzee wake ni 100% better than hawa vijana!Anaingia Emre Can kama kiungo mkabaji mambo yanakuwa saafi
My point exactly kuhusu media ya England, wanawajaza sana ujinga hawa watoto na vyenyewe vinavimba vichwa kwelikweli.
Upuuzi huu upo England tu, huwezi kukutana na vitu kama hivi Spain au Germany.
Na kwa hii deal mpya ya TV rights which means more money will be pumped to clubs/players, then kiwango cha soccer la waingereza kinaweza kushuka zaidi ya hapa.
Before today, I always thought JS ni product of Liverpool's academy, MosDef alishamaliza mjadala wa JS kwenye post #16979
SAF was a legend when it comes to putting the media in its place, na kuwakata mapembe media darlings kama kina Beckham
Ukiwaacha Mou na Wenger, kocha gani anaweza kwenda toe to toe with the english media?
Makocha wengi wanahofia vibarua vyao na hawana muda na vichwa maji kama kina Wilshare, Morrison, Berahino etc
wachezaj wa kiingereza wachukue wakiwa watu wa zima,,ukiwa wachukua bado watoto utajuta..nadhan WENGER anajuta. (1) malimbuken (2)wanalazimiashwa na media wafanane na wachezaj wa america ya kusin na wao bila kujitambua wanafikil ni kwel(3)huwa wana msimu mmoja wa ubora au nusu msimu..WANAJITAMBUA WAKISHA KUWA WATU WAZIMA.
Hata Allen, Lambert, Aspas hao ni squad players tu!! Caliber ya JS tofauti, he was already touted to be the best SG na akaamini that he is one of the elites, akasahau kuongeza juhudi na maarifa... He got carried awayBR izi debate kumuhusu anazitaka yeye mwenyewe...leo tuna sema JS sio type ya liver..vp kuhusu allen alie kuja nae yeye ndo typ ya liver???...lambert??? ...ndo ku move on uko alivoamua...sijui aspas??? origin anajambajamba uko ufaransa et ndo ST wanao mtolea macho ad wakataka wamrudishe dirisha dogo"KWELI???.....BR LIVER SIO SIZE YAKE AENDE AKAPANDISHE TIMU DARAJA APATE SIFA...
Liverpool tutakipiga na blackburn robo fainali nyumbani.
Hata Allen, Lambert, Aspas hao ni squad players tu!! Caliber ya JS tofauti, he was already touted to be the best SG na akaamini that he is one of the elites, akasahau kuongeza juhudi na maarifa... He got carried away
Origi was signed kama potential player, same as Moreno, Lazar na Emre!! soccer ni gamble kwa kiasi kikubwa, kumbuka when BR signed Coutinho and Sturridge many of us had little expectations tu!!
I wish tungesaini mtu type ya Marco Reus, ni mpiganaji mwenye uwezo
iv malengo yetu yalikuakuchukua potential players tena baada ya kuukosa ubingwa kwa ncha ya kidole na kuwa UCL.BR ye nimtu wa kugamble kila siku ata kupanga wachezaj kwe mechi..iv alijua ubingwa utakuja kwa wachezaj wa kopa cocala alio sajil...