Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MosDef

Mkuu MosDef, nachokumbuka vizuri pasi na shaka kuhusu huyo dogo ni ule mshuti aliwatungua Arsenal akitokea bench nadhani ilikua kwenye ligi, lilikua goal la ushindi. Hivi aliishia wapi?
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahah!!!

Mkuu nyangelekene una HASIRA??????????

Mkuu, nyangelekene acha amponde tu BR kafanya blunder kwenye usajili, kwa performance tuliyokuwa nayo sidhani kama kuna mchezaji World class player angekataa kuja?????? Mtu kama Pep Guardiola kwenye interview akasema tunacheza mpira mzuri ile ilikuwa ni compliment tosha ya kuattract players.


1. Fabregas kama BR angetia mguu pale angemchukua kabisa maana Barca walioyesha kutomtaka akataka kurudi Arsenal babu Wenger akafunga vioo kweli kwa mazingira kama hayo kweli angeshindwa kumchukua Fabregas kweli alikubali kwenda chelsea maana alikosa pa kwenda na unakumbuka zile shit alizosema against mourinho na chelsea? Mwisho wa siku BR bado anamkumbatia Allen.


2. Luiz Adriano na Jackson Martinez, mmoja kati ya hawa tulikuwa na chances kubwa ya kumsajili hasa huyu Luiz Adriano wa shankhter Donesk na bei yake isingekuwa kubwa sana ila BR akaenda kwa Balotelli, Lambert na Origi. Sasa hivi ana opportunity ya kmsajili Jovetic maana MP amemu-ommit kwenye squad ya Champsions league sasa sijui BR atamrudisha Aspas??


3. Saga la Sanchez, Falcao na Di malia ulishalielezea vizuri tu humu ndani ila wote hao we had the opportunity to sign them.


4. Mchezaji kama Isco kwa situation aliyokuwa nayo tulikuwa na nafasi ya kumchua kwa bei nafuu sana maana Madrid walikuwa wanataka kum-offload ili wam-accomodate Kroos.


5. Kama BR alikuwa anataka Potential striker na ambaye ange-fit kwenye mfumo ni Morata yule dogo wa madrid his movements, eye for a goal, ku-hold mpira upfront anavyo I rate him higher than Origi any day.


Na tusipo qualify champions league spot hata hawa akina Pjanic, Lacazette, Dybala tuta wasikia Man city, Chelsea, Man utd hata Spurs tutaishia kuwa sajili kwenye transfer rumours tu kama akina Fermino yule mbrazil.


English media inawa-overhype wachezaji wa kiingereza na kujiona wao ni wakubwaaaa kumbe ndo kwanza wapo kwenye process ya kutengenezwa kuwa wakubwa Sterling anakataa kusaini mkataba wa £90k per week wakati Pogba anapewa mkataba mpya na Juve wa £60k kwa week. Waingereza wasipo angalia hizi timu kubwa zitaishia kusajili mabeki tu wa kiingereza kama squad players kama yanayotokea Man city na chelsea.


Japo kuwa sisi ni fans ila tunaona makosa. Msimu uliyopita tulicheza na two strikers, na matokeo tuliyaona, kwanza tension kwa striker mmoja inapungua na pili hatuna striker mwenye akili ya kucheza kama Suarez as a lone striker pale siyo Sturridge wala Balotelli. Ndo maana hata mechi na Crystal Palace kipindi cha kwanza Sturridge alikuwa man marked hakuwa na chances zozote ila baada ya Balotelli kuingia immediately things changed ndo tuka-equalize na kushinda kabisa. Je Brendan kama angeamua kucheza na strikers wa wili mbele baada ya ile game na Spurs kweli tungekuwa wa saba???? Yaani pale mbele angekuwepo Balotelli na Lambert/Borini.


BR should have bold decision siyo young manager tena, Mourinho alichukuwa Uefa na Porto na hakuwa na Fund kama aliyonayo BR. Saa zingine tuna walaumu bure owners hawatoi hela hivi kweli kwa wachezaji kama hawa utakuwa na moyo wa kutoa hela tena??? Allen, Assaidi,Aspas, Luis Alberto*, Borini,Balotelli, tiago Illori*, Lambert, Origi (huyu mi naona ni kama tumeingia chaka tu kuna mechi niliiona akiwa anacheza daaa kweli Potential) na Gerrard anaondoka this time Henderson ndo ata-attract waingereza wenzie kama tukikosa Uefa place. Nayasema Yote haya kwasababu naipenda Liverpool, Epl siyo bundasliga ambapo mtu anaweza panda daraja na kuchukua ubingwa(dortmond na wolfburg)


*- wana potential ila wamekosa playing time tu pale LFC, waliyopata playing time ya kutosha ndo wana ringa sasa akina sterling.
 
Last edited by a moderator:
mak89

Salute mkuu, umeiweka vizuri sana!!

I deffo agree with you in most areas except Sanchez na Di Maria, Di maris is not worth 60M and Sanchez alitukataa; but the rest mkuu umepiga msumari wa moto... Luis Adriano is better that Lambert, Balo and Origi combined (kama shida ilikua squad, angepandisha watoto and with Sterl, Studge, Ibe wapo, tungekua poa

Kuhusu mishahara hii kitu inaboa sana... Pirlo is still on 70K halafu Sterl anaringa kusaini, waingereza wangese sana, ila kumlaumu BR pekee ni kumuonea, kuna mambo hata yeye hana mamlaka sana, hasa kwenye negotiation

Tukikosa top four tuna shida
 
Last edited by a moderator:
Janjaweed

Mkuu, Sanchez alikataa kwasababu ya mshahara mbuzi nadhani MosDef aliielezea vizuri tu hapa.Kwa Di malia sawa bado tungeweza ku-bargain


Hata mentality ya wachezaji inatakiwa kubadilika tulikuwa tunatumia nguvu nyingi sana mkufunga Man utd halafu tuna poteza na kwa akina sunderland, aston villa, west brom.

Kuna interview moja Ferguson alikuwa anasema in 80's Man utd alikuwa wanaangaika kuifunga liverpool ila sasa hivi ndo tunafanya hayo sisi.


Tuombe tu BR azichange karata zake vizuri tumalize top 4 tu vinginevyo we are doomed. Tutakuwa England national team academy maana ndo timu yenye waingereza wengi which is not a bad thing, issue ni je wana uwezo?
 
Last edited by a moderator:
mak89

salute kwako.

Kwanza hainiingii akil kuwa HENDERSON ndo atakua captain wa timu.ila waingereza wameamua kumpa izo sifa na ubora asio kuwa nao na ukizingatia na kocha ni muingereza.

iv ukichagua attackin midfidrs henderson atakua wangap kwa EPL.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MosDef, nachokumbuka vizuri pasi na shaka kuhusu huyo dogo ni ule mshuti aliwatungua Arsenal akitokea bench nadhani ilikua kwenye ligi, lilikua goal la ushindi. Hivi aliishia wapi?

Hahahaha!

Aliingia akitokea Sub ile haha,

Yalianza majeruhi ya hapa na pale, lakin akarud kukaa tena sawa, But kama unavyojua youngsters wa England ni wachache sana huwa wanalast..

Alienda Wigan kwa mkopo miaka ya 2006's(sikumbuki vizuri)..nahis ule ndo ulikuwa mwisho wake, but nadhan aliachana na Soccer akiwa na miaka 29 au something...nadhan Janjaweed yupo spot on, kuhusu Sheffield, manake sahv ni kama "mtangazaj wa soccer" Skysports na ishu zingine za michezo..namuonaga twitter tu akikumbushia enzi za LFC...

Ni kama RS, akiendelea kuukumbatia ujinga wa Agent wake, mpira wake utaisha mapema sana, na MISTAKE kubwa ambayo atafanya katika maisha yake ni kwenda kucheza mpira nje ya ENGLAND...Tutamsahau kabisa!!!

Ye na Agent wake wanatakiwa wajue BR hawez kumpa 100k per week, ndo maana kamrudisha IBE. hakuna shabik wa LFC aliyefikir kuwa IBE atarudishwa january na amerudishwa wakat RS anasua sua kusign..
 
Last edited by a moderator:
salute kwako...kwanza hainiingii akil kuwa henderson ndo atakua captain wa timu.ila waingereza wameamua kumpa izo sifa na ubora asio kuwa nao na ukizingatia na kocha ni muingereza..iv ukichagua attackin midfidrs henderson atakua wangap kwa epl....

hahahahahahahahahaha!
 

kuna tatizo gani na pasi ndefu mbona hata SAF aliitumia sana enzi zake? kwangu mimi tatizo ni kwamba LVG hachezeshi baadhi ya wachezaji katika position zao zinazotakiwa basi.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana dada kwa kuvuka jana!Ushindi ni ushindi haijalishi umepatikanaje

Asante sana kaka yangu ila hizi hongera zingependeza kama ungezileta kule mitaa yetu,au unaogopa hata kuja.....Lol!!!
 
Lazar Markovic has been handed a four-game
ban from European football, Press Association
Sport understands.

The Liverpool winger was sent off in the Reds'
final Champions League group game against
Basle in December for catching Behrang Safari in
the face with a flick of his hand.

Markovic has been given an extra game on top of
the normal three-match ban for violent conduct
because he was sent off playing for Benfica in a
Europa League match last May.
 
Ed n Edd nEddy

Hahahahhah!!!

U should have seen his reaction on Twitter!!!!

LAZAR bhana!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…