Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Haya tena yule mgonjwa wetu leo ndio anaenda tena kwa mama cheza (physiotherapist) kuangalia kama atakuwa discharged au bado abaki wodini!!!
msikose kuangalia mazoezi leo
aquilani anaumwa .Aquilani hata bench hajamweka leo.....nimejuwa kama lazima amchezeshe mwanawe leo Lucas....
aquilani ni gemu ya tatu muhimu sasa anaugua virus flu... nadhani ni uoga wa kubeba expectations, itakula kwake, he did it against arsenal tooaquilani anaumwa .
senksi mkuuHongereni sana wakuu kwa ushindi mnono wa jana,hope mtarudia kile mlichofanya mwaka 2001 kwenye fainali ya UEFA Cup kwa kuwachapa Alves 5-4 na kubeba kombe...Ilikuwa mechi kali sana hii....Nawakumbuka sana wakongwe Gary McAllister,Markus Babbel,Dietmar 'Didi' Hamann,Robbie Fowler,Danny Murphy,Vladmir Smicer na Patrick Berger bila kumsahau kipa wenu mkali wa kipindi hicho mholanzi Sander Westerveld
Huyo mzee alikuwa wa ukweli sana,nakumbuka kuna jamaa wa ALAVES anaitwa JAVI MORENO alifunga goli 2 zote za freekickHongereni sana wakuu kwa ushindi mnono wa jana,hope mtarudia kile mlichofanya mwaka 2001 kwenye fainali ya UEFA Cup kwa kuwachapa Alves 5-4 na kubeba kombe...Ilikuwa mechi kali sana hii....Nawakumbuka sana wakongwe Gary McAllister,Markus Babbel,Dietmar 'Didi' Hamann,Robbie Fowler,Danny Murphy,Vladmir Smicer na Patrick Berger bila kumsahau kipa wenu mkali wa kipindi hicho mholanzi Sander Westerveld
senksi mkuu
wanasema gangwe lazma afe na mtu... sasa naomba mungu jumapili tufe na manure... wagoshi wanasema kama "kukossa tikose ssote"!!!!
DN
Mnasemaje hapo wanazi wa liver..kwanza adv kuanzia OMBenfica v Liverpool
Valencia v Atletico Madrid
Hamburg v Standard Liege
Fulham v Wolfsburg
Tunaomba kila aina ya Dua mshinde mechi hii Jumapili......YES YOU CAN...Chapeni hao Manure
Btw,naona Chelsiki wameanza kummezea mate Elnino....Torres