Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Why BR? Hendo angebeba mwenyewe lawama.

kwann Hendo???

Kabla ya Games, si manager huwa anapick mchezaj wa kutake pen's kama The main one hayupo???

Ukitaka kujua BR alimpick nan, angalia Analysis ya SG jana ITV!
 
Jana usiku wakat naangalia Games, Nikacomment hapa kwann Hendo ana-mbania MB kupiga penalty!

Lakin after seeing SG's Analysis, SG akasema kuwa BR alimwambia (SG) kuwa kwenye hii game ya Beskitas mpiga penalty atakuwa Henderson! na wakakubaliana hivyo!

Hendo alionyesha ujinga ndiyo, coz syo mpigaji pen kabisa! but yalikuwa ni maelekezo kutoka kwa BR!

Majibu ya Hendo : 'I wanted the penalty, Mario felt confident and he has taken big penalties before. Everyone wants to take them. I felt confident in Mario, he has taken big penalties before and he got the nod.'

Sasa kwanini Dany aliingilia, hapa ndio tunaona Dany ndio kam disrespect Hendo, kwa kuona uamuzi wa naodha kumpa Mario mpira ulikua si sahihi

KOPGIRL1971
user-online.png
Forum Tolstoy

Join DateApr 2005Posts40,346​

Today,10:31

Because the club captain opened his gob when he shouldn't have. What he said could cause far more damage than the on-pitch spat, which would have been forgotten about - at least, in the public eye - instead of it being splashed all over the telly and the papers.

First lesson in management, Stevie, don't slam your players on national TV. I hope Rodgers gives him a bollocking.

besides, didn't Gerrard say some months back that, when he's not on the pitch, Balo is the pen-taker?!​

Issue sasa kila mahali

Hicho kitoto hapo, next week MB akikosa goal la wazi, kakitafute tena! uone comment yake!!!
 
MosDef,nadhani BR alimwambia Hendo awe mpiga pen make alijua Mario hatakuwepo on pitch may be wakati penalt inatokea,Hendo alitakiwa kutumia akili tu,pamoja na kwamba aliambiwa apige penalt,lakini Mario akawepo kwenye pitch penalt ilipopatikana,there was no option zaidi ya kumuachia Mario make dunia nzima inajua ni mmoja kati ya penalt specialist! Alichokifanya SG ni unafiki tu,simple like that,yes,unafiki na 'uingereza'.
 
Last edited by a moderator:
Majibu ya Hendo : 'I wanted the penalty, Mario felt confident and he has taken big penalties before. Everyone wants to take them. I felt confident in Mario, he has taken big penalties before and he got the nod.'

Sasa kwanini Dany aliingilia, hapa ndio tunaona Dany ndio kam disrespect Hendo, kwa kuona uamuzi wa naodha kumpa Mario mpira ulikua si sahihi

tuliangalia game wote jana tukiwa hapa!!

Baada ya refa kucall ile penalty, hendo alikuwa wa kwanza kuuchukua ule mpira (refer maelekezo ya BR)..but MB akamfata ma kuuchukua ambapo alibadilishana some words na Hendo, mpaka hendo akaamua kumwachia coz tayar MB alishauweka mpira mkonon mwake!! hendo wakat anatoka nje ya box alionekana kusikitika sana! but the idea ya Hendo kuamua kumuachia mpira MB ndo ilimuuma Danny akaanza kubwambwaja!

MY TAKE.

Hendo mwenyewe hakuwa confident kuipiga ile pen, coz siyo mzuri kwenye pen, Tangu mwaka 2009 kapiga penalty moja Tu na ALIKOSA, akiwa Sunderland!

The way MB alivyouchukua ule mpira ndo kulimuudhi Hendo, na presha aliyokuwa anaipata kwa danny ndo ikafanya ajione mjinga zaid kumuachia MB penalty kirahis!!

MB ni good penalty taker, alichotakiwa kukifanya ni kumfata hendo kistaarabu tu, coz everybody aliona Hendo hakuwa na confidence..lakin kuexchange maneno hakukuleta maana yoyote!!!

BTW! hendo hatakiwi kuwa Captain!
 
MosDef,nadhani BR alimwambia Hendo awe mpiga pen make alijua Mario hatakuwepo on pitch may be wakati penalt inatokea,Hendo alitakiwa kutumia akili tu,pamoja na kwamba aliambiwa apige penalt,lakini Mario akawepo kwenye pitch penalt ilipopatikana,there was no option zaidi ya kumuachia Mario make dunia nzima inajua ni mmoja kati ya penalt specialist! Alichokifanya SG ni unafiki tu,simple like that,yes,unafiki na 'uingereza'.

people wanashindwa kuelewa root ya Hendo kutaka kupiga pen inaanzia wapi!!!
 
Last edited by a moderator:
MosDef,nadhani BR alimwambia Hendo awe mpiga pen make alijua Mario hatakuwepo on pitch may be wakati penalt inatokea,Hendo alitakiwa kutumia akili tu,pamoja na kwamba aliambiwa apige penalt,lakini Mario akawepo kwenye pitch penalt ilipopatikana,there was no option zaidi ya kumuachia Mario make dunia nzima inajua ni mmoja kati ya penalt specialist! Alichokifanya SG ni unafiki tu,simple like that,yes,unafiki na 'uingereza'.

Mkuu bado Hendo alitumia akili maana Mario alipotaka mpira Hendo hakuonesha kumzuia alimwachia tu, aliyeleta zogo ni Dany. Msikie Hendo : 'I wanted the penalty, Mario felt confident and he has taken big penalties before. Everyone wants to take them. I felt confident in Mario, he has taken big penalties before and he got the nod.'
 
SG alipaswa kufanya maamuzi magumu kama kiongozi, otherwise inaweza ku-set bad precedence with far reaching consequences. So, SG has a 110% backing from me.

Pia, kulinganisha reaction ya SG na BR dhidi ya hii kadhia si sahihi. Why, because SG has been, is and will always remain a far stronger character than BR.

Alichofanya BR ni cheap politics, yes. I like BR as a technically brilliant coach (this I have mentioned countless times on this forum) but kuna maeneo mengine bado yuko limited.
 
tafuta replay ya game!
 
tuliangalia game wote jana tukiwa hapa!!

Baada ya refa kucall ile penalty, hendo alikuwa wa kwanza kuuchukua ule mpira (refer maelekezo ya BR)..but MB akamfata ma kuuchukua ambapo alibadilishana some words na Hendo, mpaka hendo akaamua kumwachia coz tayar MB alishauweka mpira mkonon mwake!! hendo wakat anatoka nje ya box alionekana kusikitika sana! but the idea ya Hendo kuamua kumuachia mpira MB ndo ilimuuma Danny akaanza kubwambwaja!

MY TAKE.

Hendo mwenyewe hakuwa confident kuipiga ile pen, coz siyo mzuri kwenye pen, Tangu mwaka 2009 kapiga penalty moja Tu na ALIKOSA, akiwa Sunderland!

The way MB alivyouchukua ule mpira ndo kulimuudhi Hendo, na presha aliyokuwa anaipata kwa danny ndo ikafanya ajione mjinga zaid kumuachia MB penalty kirahis!!

MB ni good penalty taker, alichotakiwa kukifanya ni kumfata hendo kistaarabu tu, coz everybody aliona Hendo hakuwa na confidence..lakin kuexchange maneno hakukuleta maana yoyote!!!

BTW! hendo hatakiwi kuwa Captain!

ua!!

...................
 
Nadhani sote tunamjua Dany kuhusu u selfish, niwakumbushe tu lile tuta la Everton alifanya nini, aling'ang'ana apewe kisa hat-trick na akakosa
 
tafuta replay ya game!
After the game nilicheki analysis pia. Ishu iliongezeka baada ya Dany kuanza kuhoji, labda tuhoji kwanini Dany aliingilia wakati Hendo alishaamua kuacha mpira kwa Mario. why sio Sterling, Can, ama hata Moreno kuingilia
 
SG alipaswa kufanya maamuzi magumu kama kiongozi, otherwise inaweza ku-set bad precedence with far reaching consequences. So, SG has a 110% backing from me.

Pia, kulinganisha reaction ya SG na BR dhidi ya hii kadhia si sahihi. Why, because SG has been, is and will always remain a far stronger character than BR.

Alichofanya BR ni cheap politics, yes. I like BR as a technically brilliant coach (this I have mentioned countless times on this forum) but kuna maeneo mengine bado yuko limited.

Watu ukiwaambia hivyo vitu hawaelewi Aisee!!
 
After the game nilicheki analysis pia. Ishu iliongezeka baada ya Dany kuanza kuhoji, labda tuhoji kwanini Dany aliingilia wakati Hendo alishaamua kuacha mpira kwa Mario. why sio Sterling, Can, ama hata Moreno kuingilia

Sababu anazijua Danny Aisee!!

hhahahahahaha!!!

Manake MB ana nyimbo yake pale Anfield (Balo ole ole ole ole) kutoka kwa fans, ndugu yetu HANA nyimbo Aisee!!

hahahahahahah!! (Joke though)
 
Ishu ni hii Je why Dany alalamike na si mwingine??
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu kinaibuka kwenye hii team kiko wazi tu, kuondoka kwa LS7 kuna develop tabia ya kila mtu kutaka kua yeye ni main man. Je unapataje kua main man, ni kufunga na ku perfom na kuisadikisha team kua wewe ni muhimu iki kitu upelekea kupenda ubinafs. Hii ipo kwa Sterling kwasasa, ipo pia kwa Dany tokea akiwa na LS7, na ndio sabab Dany felt bad kuona Hendo anaruhusu Mario apige penalty, I truly believe Dany kichwani mwake aliamini kama Hendo hapigi basi wa kupewa awe ni yeye, plus jana ni game yake ya kwanza ngazi ya ulaya kwa Liverpool, so he real wanted to score his first goal for LFC in Europe, but we as fans we wanted wht was the best for our team amini usiamini asilimia kubwa ya supporters tulitamani Balo apige ile penalty kuliko hata Hendo na Dany kutokana na uwezo wa Balo ktk swala penalty.
 
MB is the Man of the Match na kaanza kunyamazisha watu

Sasa aanze kucheza mbele na Dan tutapata matokeo mazuri sana
 
Jana usiku wakat naangalia Games, Nikacomment hapa kwann Hendo ana-mbania MB kupiga penalty!

Lakin after seeing SG's Analysis, SG akasema kuwa BR alimwambia (SG) kuwa kwenye hii game ya Beskitas mpiga penalty atakuwa Henderson! na wakakubaliana hivyo!

Hendo alionyesha ujinga ndiyo, coz syo mpigaji pen kabisa! but yalikuwa ni maelekezo kutoka kwa BR!

Hii imepita na MB katupa command lead kwenye mechi ya marudiano
 
Kuna kitu kinaibuka kwenye hii team kiko wazi tu, kuondoka kwa LS7 kuna develop tabia ya kila mtu kutaka kua yeye ni main man. Je unapataje kua main man, ni kufunga na ku perfom na kuisadikisha team kua wewe ni muhimu iki kitu upelekea kupenda ubinafs. Hii ipo kwa Sterling kwasasa, ipo pia kwa Dany tokea akiwa na LS7, na ndio sabab Dany felt bad kuona Hendo anaruhusu Mario apige penalty, I truly believe Dany kichwani mwake aliamini kama Hendo hapigi basi wa kupewa awe ni yeye, plus jana ni game yake ya kwanza ngazi ya ulaya kwa Liverpool, so he real wanted to score his first goal for LFC in Europe, but we as fans we wanted wht was the best for our team amini usiamini asilimia kubwa ya supporters tulitamani Balo apige ile penalty kuliko hata Hendo na Dany kutokana na uwezo wa Balo ktk swala penalty.

Huyu sturridge kama alitaka kufunga how chances did he blow away kwenye first half???. Hakujifunza kwa Suarez tu maana aliona person glory si muhimu kwa zaidi ya timu ndo mchezaji wa liverpool aliyetengeneza chances nyingi na wa pili kwa assist last season.

Inatakiwa ajifunze sasa mbona alimbania Balotelli ile clear chance kabisa na hakuwa amebanwa, wanatakiwa wajifunze kutoka kwa wachezaji wengine wakubwa. Kwangu SG was right as a captain lazima respect iwepo kwa captain uwanjani tofauti na yeye hao watoto hakuna wanaem-respect karibia wote wana mapembe sasa hivi.

Jordon Ibe won us a game na alikuwa na performance nzuri sikumbuki kuona amenyang'anywa mpira mguuni kama kwa sturridge matokeo yalikuwa ni muhimu zaidi sturridge akazanie kurudi kwenye fitness
 
MB is our really hero maana angekosa pale baada ya kukiuka amri ya BR kuwa Hendo ndiyo mpiga penalty angeweza hata kukatwa mshahara
 
Back
Top Bottom