MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Kama mmoja wa wachezaji wa LFC akustahili kuongea ilo neno la blue kwa Media huo ni uchonganishi tu ama kukuza jambo, asingeongea hayo iyo media isinge mis quote chochote from him, iyo ilibidi aiongelee nyuma ya pazia!!Jaribu kuwaza Balo atajisikia vipi na Hendo atajisikia vip baada ya iyo kauli.....Mkuu Everyone ameshuhudia tukio la Balo kum disresepect wala haikuitaji mmoja wa wachezaji wa LFC kuongea ili tujue Hendo amekua disrespected.
Hekima ni muhimu
SG jana alikuwa ni mchambuzi kwenye kituo cha ITV, so alikuwa anatoa opinion yake pamoja na uchambuzi wake!!!
Na aliongea alichokiona, uwanjani, angeongea kipi?? coz host alikuwa kishaanza hilo suala la "disrespect" SG akakazia tu.
Ni kama Carra anavyosemaga kwenye MNF kuhusu SG kuslip au SG legs have gone etc!!! ni mawazo tu ya mtu yanayoreflect realty!!
Jon Barnes, Fowler etc wangesema the same, Kama Host angeuliza kuhusu mario kumdestrespect Hendo!!


