Hao mashabiki utafikiri wanakaba. Liver wakikamata mpira ni buuu mpaka noma
Sababu Brendan Rogers hajui kufundisha wacha tu tufundishwe mpira zarau zake ataishia siku kufundisha QPR ikishuka....daaah, tunafundishwa mpira..!
Huyu Brendan Rogers akafundishe academy sio Snr yeye ndio anayataka katikati Allen peke yake hawezi Allen hata wawe na wenzake wa tatu Allen hawezi anayecheza Can tu na Bitozi Nyangema Sturidge pasi hatoi Uengereza mpira umeisha kumebaki matangazo zarau za kuwaacha Coutinho na Hendo.
Dk 115
BES 1 - LIV 0
Makipa wanabadilisha magoli...
Jitahidi labda mtaokoa jahazi....wapi Malafyale Ed n Edd nEddy?
Kwani amewaacha makusudi? Mi nilivyosikia wote hao wagonjwa!
hope so mana jana..nahic tuliwadharau monaco tukacheza tukiwa tumerelax