Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu Brendan Rogers akafundishe academy sio Snr yeye ndio anayataka katikati Allen peke yake hawezi Allen hata wawe na wenzake wa tatu Allen hawezi anayecheza Can tu na Bitozi Nyangema Sturidge pasi hatoi Uengereza mpira umeisha kumebaki matangazo zarau za kuwaacha Coutinho na Hendo.
 
Kwa hali hii lazima tubaki internationaless kama manure..!wachezaji hata hawaelewi wanafanya nn kiwanjani.!!
 
Huyu Brendan Rogers akafundishe academy sio Snr yeye ndio anayataka katikati Allen peke yake hawezi Allen hata wawe na wenzake wa tatu Allen hawezi anayecheza Can tu na Bitozi Nyangema Sturidge pasi hatoi Uengereza mpira umeisha kumebaki matangazo zarau za kuwaacha Coutinho na Hendo.

Kwani amewaacha makusudi? Mi nilivyosikia wote hao wagonjwa!
 
Msikate tamaa mnaweza kushinda kwenye matuta labda
 
Back
Top Bottom