LFC fans tumezoea sana KuMoan Aisee!!!
Mwanzo wa msimu BR alikuwa anaipoteza team, kila mtu aliona hilo!!!
Lakin, he has managed to turn things Around Massively kwenye EPL..
Lakin Kufungwa on penalties, watu washasahau mazuri yake yote ya Mwaka 2015!!!!
Europe football inahitaj experiance, BR ana uzoefu gan Europe mpaka apate sticks kama hizo???..
Kila siku tunatafuta Scapegoats, Tunataka team ifanye vibaya tupate cha kuongea, Knock out stage Team yoyote ile inatoka, juzi Arsenal kapigwa 3 na Monaco ikiwa na wachezaj watano wa First Team Injured tena kwenye UCL!!!
kocha anayefundisha team yako katoka Swansea, hii ndo mara yake ya kwanza anaingia Kwenye Europe competitions...lakin bado anapata sticks!!!
Wengine mpaka tulifikia kusema BR afukuzwe mwanzo wa msimu, lakin mbona tunaAcknowledge yale aliyoyafanya katika kutubadilishia msimu wetu kipind ambacho hatukitegemea????
BR ana mapungufu yake Makubwa tu, lakin sahiv kafanya niwe naangalia mpira kwa kujiamini kwenye EPL!!!
Tupunguze Kumoan sometimes!!
hiyo Europa ingekuwa muhimu, Kila mtu bas angekuwa anagombania nafasi ya 6 na ya ngap sjui kwa NGUVU!!!
Mwaka 2004, kabla ya game ya Olympiacos, SG was quoted saying "i dont wanna wake up in the morning and find myself in the Europa league"
Leo hii watu wanaMoan kisa Europa, and top of all, kisa BR ni Coach!!!!..sometimes tuwe tunampa hata Credits Aisee!!