Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Hivi huku nilipita kutoa pole zangu jamani. Asante Demba Ba
KAKA, aliyetuua jana ni Sturridge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huku nilipita kutoa pole zangu jamani. Asante Demba Ba
KAKA, aliyetuua jana ni Sturridge
Sikufanikiwa kuona mechi ila baadaye nitacheki walau youtube nitajua kama nikubaliane nawe au la.
Balotelli je?
he was good
Sterling na Sturridge were rubbish for 90 minutes
he was good
Sterling na Sturridge were rubbish for 90 minutes
Sturridge na mdogo wake wote wanafanana kuanzia rangi hadi tabia ya ubinafsi.
Sturridge na mdogo wake wote wanafanana kuanzia rangi hadi tabia ya ubinafsi.
Ok mnaniharakisha kucomment but i cant believe leo kwa mara ya kwanza mnam criticize Sterling
Unamtaka Benitez?? well FSG doesn't want him!!!
Unamtaka Klopp?? Well FSG cant Pay him Enough!!!
Unamtaka simeone?? Well FSG can't pay him Enough!!
unamtaka Guardiola?? Well keep dreaming!!!
Unamtaka DE BOAR??? well FSG will be happy to sign HIM!!!
Siogopi bet na kumbuka was 12 points a drift on mid Dec tp just 2 points now!
Taja bet na taja tuta excute vipi!Nipo Canada kikazi na nakuwa Dar mwezi ujao
Liverpool kwakweli imeniharibu kisaikolojia,leo kuna ka mtihani flani nlikua nafanya yani nikitulia kuwaza kinachojaa kichwani ni ile penati ya mwisho na wale wajinga wanavyoshangilia..!!
Pole mkuu!!kawaida take it easy
Asante mkuu ata sijui kwanini hii mechi imenikaa sana kichwani japo, sio mara yetu ya kwanza kufungwa
BR ni m-bovu kwenye usajili tu basi.
BR ni m-bovu kwenye usajili tu basi.
Asante mkuu ata sijui kwanini hii mechi imenikaa sana kichwani japo, sio mara yetu ya kwanza kufungwa