mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
EPL mbofu mbofu. Ulaya ni urojo urojo tuu vitimu vyao.
Tehteh mmetoka kwenye machimboni sio hehe tunakubali tumefungwa hakuna sababu zengine lol Nyie mlitolewa lini au bado mpo? Bora Arsenal wanamatumaini ya dk 90 then watarudi kwenye Reality soon nao Uengereza hakuna football ni matangazo tu Yamebakia.
Kama tutapoteza game ya City basi tunaweza poteza muelekeo, ivyo lazima tushinde na tukishindwa basi hata sare ili tusipoteze consistency
City defence yao mbovu na washambuliaji wa liverpool wakiwa kwenye form sioni namna city atakavyopona. Ila maandalizi ya kisaikologia yanahitajika baada ya kipigo cha europa. Kwanza Rogers asilaumiwe kumbukeni alikowatoa! Kama Rogers akiandamwa kabla ya mechi ijayo tegemeeni majanga!
Ehahahaha dada bado unakumbuka plan B kombe la dunia ehehheh!
Hapana sikutumia maana ni kombe la hovyo hovyo hili!Ingekuwa CL ningetumia
Vipi na nyie mnacheza lini kombe lenu na TP Mazembe?
Europa league ni Competition ya Team zilizofeli kwenye GROUP STAGE ya UCL!!!! na zile ambazo zimefeli kuingia Top 4, au Whatever (inategemea na league)
Ni competition ya FAILURES!!!ndo maana inachezwa Alhamis!!!!
Bora useme wewe watasema haki ya MWANAMKE tusimuandame Mie nikisema hapa itakuwa Fujo kombe ni Kombe tutoeni sababu zisio na msingi mbona Capital Cup tulivyoshinda tulishangilia? Kila kitu muhimu na ndomana umeona Jana baaazi ya wachezaji walishinda uso baada game kuisha mbona mlikaa kutizama dk 100+ kama si muhimu Nyie ndio mnafurahia tukifungwa muone sawa tu Mie afukuzwe tu Brendan Rogers waje watu wanajuwa kutaka kila kombe mnajidanganya Uefa sio kombe Kaeni hapo hapo kila kombe Muhimu Ushawahi kumsikia Morinho anasema sio muhimu? Anajuwa ni muhimu ndomana alibeba pia wale ambao hawakuwahi kitu kubeba hujidanganya sio muhimu au wakwa hawapo kwenye kombe flani husema sio muhimu mwisho tutakuwa tu nafikiria muhimu kumaliza Top 4 peke yake bila kombe kwa miaka 5 then tutakuwa tu nasema timu bado watoto kama Pedophile wenger, tuamke Fukuza mbali Rogers na ni muda wa kununuwa Ubingwa kama City na Chelsea.Sizitaki mbichi hizi humu zimekuwa nyingi sana.... Jamani tuache masihara hakuna kombe mbuzi hata moja na na ndo maana limeandaliwa,kila kombe linaheshima zake. Kushindwa ni kushindwa tu.
Brendan Rogers hata Ashinde game ngapi hata zote zilizobakia LFC simkubali bado na msimu ukiisha anafukuzwa asipofukuzwa nipigeni ban Mwaka mzima na kushangilia MAn U nafasi yao ya 6 msimu ujao MPaKA Rogers atapofukuzwa, hapo kwenye kushangilia Man U mpaka Rogers atapofukuzwa sio kweli ila nipigeni Ban kama msimu ujao ukianza hajafukuzwa na nipigeni life ban kama Man U itamaliza Juu yetu na Man United ikimaliza juu yetu Rogers atanitambua.
Pole kaka yangu Malafyale hukutumia ile plan B...pole Ed n Edd nEddy.
Cant believe watu wanaMoan kuhusu Europa!!!
Since when Europa ishakuwa na umuhimu kiasi hicho???
LFC fans tumezoea sana KuMoan Aisee!!!
Mwanzo wa msimu BR alikuwa anaipoteza team, kila mtu aliona hilo!!!
Lakin, he has managed to turn things Around Massively kwenye EPL..
Lakin Kufungwa on penalties, watu washasahau mazuri yake yote ya Mwaka 2015!!!!
Europe football inahitaj experiance, BR ana uzoefu gan Europe mpaka apate sticks kama hizo???..
Kila siku tunatafuta Scapegoats, Tunataka team ifanye vibaya tupate cha kuongea, Knock out stage Team yoyote ile inatoka, juzi Arsenal kapigwa 3 na Monaco ikiwa na wachezaj watano wa First Team Injured tena kwenye UCL!!!
kocha anayefundisha team yako katoka Swansea, hii ndo mara yake ya kwanza anaingia Kwenye Europe competitions...lakin bado anapata sticks!!!
Wengine mpaka tulifikia kusema BR afukuzwe mwanzo wa msimu, lakin mbona tunaAcknowledge yale aliyoyafanya katika kutubadilishia msimu wetu kipind ambacho hatukitegemea????
BR ana mapungufu yake Makubwa tu, lakin sahiv kafanya niwe naangalia mpira kwa kujiamini kwenye EPL!!!
Tupunguze Kumoan sometimes!!
hiyo Europa ingekuwa muhimu, Kila mtu bas angekuwa anagombania nafasi ya 6 na ya ngap sjui kwa NGUVU!!!
Mwaka 2004, kabla ya game ya Olympiacos, SG was quoted saying "i dont wanna wake up in the morning and find myself in the Europa league"
Leo hii watu wanaMoan kisa Europa, and top of all, kisa BR ni Coach!!!!..sometimes tuwe tunampa hata Credits Aisee!!
Brendan Rogers hata Ashinde game ngapi hata zote zilizobakia LFC simkubali bado na msimu ukiisha anafukuzwa asipofukuzwa nipigeni ban Mwaka mzima na kushangilia MAn U nafasi yao ya 6 msimu ujao MPaKA Rogers atapofukuzwa, hapo kwenye kushangilia Man U mpaka Rogers atapofukuzwa sio kweli ila nipigeni Ban kama msimu ujao ukianza hajafukuzwa na nipigeni life ban kama Man U itamaliza Juu yetu na Man United ikimaliza juu yetu Rogers atanitambua.
Poleni sana hii mambo ilitakiwa iishe ndani ya dakika 90 ila uzembe ndo umewagharimu mmefika kwenye matuta,usiku mwema,nirudi Lindon mie.
Asante Bibie, bilashaka lindo limekwenda vyema...
Naomba ruhusa ya kuondoa "uzembe ndo umewagharimu mmefika kwenye matuta". Ushabiki pembeni, our team was second best for the whole 120mns. Liverpool had only three players on the pitch...MIG, SKRTEL & CAN...the rest were rubbish!