EPL table doesn't lie chief...na ilikupiga 3 nil ikiwa shaky shaky...
Kumbe nawe ulisikia Watangazaji walimsifia kwamba dogo ana ubavu baada ya kumpush Kompany.
Mpira wa kupendeza kwa kupanga defensive minded midfield wawili wawili kila mechi Matic, Ramirez, mikel,Willian. Willian kabla ya kuhamia Chelsea alikuwa very attacking minded Jose kam-badili na kuwa false Defensive Mid. Nakubali kuna tofauti kati ya Mourinho 1 na Mourinho 2.
Nafikiri BR ndio mara kwanza akiwa LFC kumfunga Pellegrini
Msimu uliopita alimfunga akiwa chealsea
Ulinipiga bao 3 na ulikuwa umenipita 12+points bro!!!
but I AGREE, the table doesn't lie Aisee!!
Nafikiri BR ndio mara kwanza akiwa LFC kumfunga Pellegrini
MOTM---Philippe Coutinho
Hahahaaaaaaaa aya mkuu..................
MOTM could also easily go to ALLEN, HENDERSON or LALLANA
Last Season alimfunga pia, goli la tatu uyu uyu Coutinho, ushindi wa 3-2
sure, they did well!!coutinho has been awarded
Nami wala sijaichukulia ubaya...nimeongea kwa kuwa kuongea ni kawaida kwa mtu anayeweza kuongea, au siyo?
Mimi nimeshaweka bet na mloserfool Malafalye...na naweka na maloserfool wote humu sasa kwa kuweka hela, nyiye hata msiweke chochote..
Liverpool ikamaliza juu ya United msimu huu, licha ya kupigwa ban ya mwaka mzima kwenye jukwaa la United, nitawapa washabiki wa Liverpool US$ 100 wa jukwaa hili
Whatever the difference was and is..the fact is United is above Loserfool is in the EPL table.
Mkuu MosDef, watu wanaweza wakadhani unaelimu ya utabiri
What a game of football.
Kupumzika kwa Phil na hendo paid tremendously
I hope our fellow merseysiders watafanya mambo