Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

11046752_10155327594885455_4577891951273745662_n.jpg
 
Mpira wa kupendeza kwa kupanga defensive minded midfield wawili wawili kila mechi Matic, Ramirez, mikel,Willian. Willian kabla ya kuhamia Chelsea alikuwa very attacking minded Jose kam-badili na kuwa false Defensive Mid. Nakubali kuna tofauti kati ya Mourinho 1 na Mourinho 2.



MKuu karibu kila timu zinakua zinapanga viungo wawili kati na mmoja nyuma ya mshambuliaji ata leo City walikua na Toure na Fenandinho na baadae wakawa na Toure Millner na Lampard sasa sijui kwanini wewe uone shida kwa Mou kumpanga Matic na Ramires pale kati na juu kumpanga Faby au Oscar wakati timu zingine zinapanga? Mkuu mpira na mbinu zinakwenda zinabadilika kila siku....Willian bado yupo ktk ubora wake ule ule sema ndo amekua jembe zaidi kwa sasa na uzuri ni kwamba huo uwezo wa kufanya majukumu makubwa anaweza sn....

Nashukuru umekubali kua Mou huyu wa sasa sio yule wa zamani na kwa aina ya wachezaji alio nao sasaivi anaweza kucheza mfumo wowote ule na kwa timu yoyote atakayokutana nayo.

Tusubiri badae kidogo tuone BURUDANI SAFI SN.
 
Ulinipiga bao 3 na ulikuwa umenipita 12+points bro!!!

but I AGREE, the table doesn't lie Aisee!!

Whatever the difference was and is..the fact is United is above Loserfool is in the EPL table.
 
Nami wala sijaichukulia ubaya...nimeongea kwa kuwa kuongea ni kawaida kwa mtu anayeweza kuongea, au siyo?

Mimi nimeshaweka bet na mloserfool Malafalye...na naweka na maloserfool wote humu sasa kwa kuweka hela, nyiye hata msiweke chochote..

Liverpool ikamaliza juu ya United msimu huu, licha ya kupigwa ban ya mwaka mzima kwenye jukwaa la United, nitawapa washabiki wa Liverpool US$ 100 wa jukwaa hili

hahaha, count me in

Naomba niweke kwenye bet, 100 dollars mzee

ukimaliza juu yetu nakupa, tukimaliza juu yako naomba unipe 100 USD

Pleeeaaaaaaaaaaaaaase
 
Mkuu MosDef, watu wanaweza wakadhani unaelimu ya utabiri

What a game of football.

Kupumzika kwa Phil na hendo paid tremendously

I hope our fellow merseysiders watafanya mambo

MaEverton hayana uwezo wowote wa kuisaidia LFC, syo ya kuyategemea yale, Team lao kwanza bovu, na Wed yanacheza na Stoke City..Yakafie Mbele!!

Kuhusu Arsenal na Manure wala usiwe na hofu, Weeks zinazokuja utaona utofauti tu..

Tulihitaj kuclose the gap kama hivi, mambo mengine yatajipa tu weeks zinazokuja!!!
 
Back
Top Bottom