Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Najua Sana kwamba sisi ni watani wa jadi ndo maana nami nikakujibu hivyo hivyo kimatani lakini naona mwenzangu ukapaniki...... Anyway lets end the discussion all its fine.

Hapa tuna demokrasia ya hali ya juu sana!Hapa sio kama kule kwenu ambapo kuna ukiritimba sana wa kupashsna habari

Bet yetu ya kuninunulia kitimoto mzima Majogoo tukishinda na mm kukupa 24 packs ya Savanah tukifungwa bado ipo?
 
MB trashed BR on Instagram!!

I dont know kama ni broken English Or alimaanisha kusema Vile!!!
 
Hapa tuna demokrasia ya hali ya juu sana!Hapa sio kama kule kwenu ambapo kuna ukiritimba sana wa kupashsna habari

Bet yetu ya kuninunulia kitimoto mzima Majogoo tukishinda na mm kukupa 24 packs ya Savanah tukifungwa bado ipo?

😀 ipoooo!! Kuna uzi niliona unasema uko Canada usharudi? Ila hizo Savana mimi ntafanya biashara tu maana situmii
 
Yaa nipo Canada lkn March 25 nitakuwa Dar!Kama haupigi Savanah chagua bet ingine ila mm abaki kitimoto nitamchemsha kwa "mbalaga" na aliyobaki nitamla kwa "matoki"
 
MB kasemaje mkuu?

"SOMEONE DOESN"T LIKE ME, But differently of what they say about me ima a team player and am so proud of my team, of this win and of these fans, lets keep going"

Hapo kuna errors kibao!!! but kutokana na hizo errors inanifanya niamini kuwa alikuwa ameintend kusema "some people dont like me"..

but sijui alimaanisha nini!! manake kama ni MTU basi lazima kamlenga BR...na itamwaribia..
 
Kama si SG basi ni DS aliyelengwa hapo
 
Hivi mtu unajiskiaje kuwa shabiki wa manure????...

Team bovu
Flops kibao
Kocha haeleweki
Msaidizi wake ni GIGGS.
FELLAIN ni mchezaj muhimu.
Ashley Young playing like Di maria
Di Maria playing like The "old" Young
BLIND kiungo Muhimu
HERRERA ndo MAGICIAN
EVANS ni Beki Muhimu.
SCRAPPY WINS...

Ha ha ha ha ha ha ha!!Mkuu watakuja hapa
 
Ushabiki bhana, huwa unafanya watu wasiamini yale ambayo ni rahisi kuaminika!!..ni kama vile shabiki wa Spurs, So'ton na Man Utd kuamini kuwa watamaliza TOP FOUR this season!!!!!!

Liverpool 'umeisahau' makusudically?
 
Happy birthday to Mignolet, turn 27 today
 
Attachments

  • 1425653862113.jpg
    1425653862113.jpg
    16.9 KB · Views: 83
"SOMEONE DOESN"T LIKE ME, But differently of what they say about me ima a team player and am so proud of my team, of this win and of these fans, lets keep going"

Hapo kuna errors kibao!!! but kutokana na hizo errors inanifanya niamini kuwa alikuwa ameintend kusema "some people dont like me"..

but sijui alimaanisha nini!! manake kama ni MTU basi lazima kamlenga BR...na itamwaribia..

Hapa ndipo MB anapo nifurahishaga ila me nahisi kamlenga BR
 
Steven Gerrard has no 'god-given right' to walk straight back into in-form Liverpool team, says manager Brendan Rodgers
2661389C00000578-0-image-a-127_1425651280524.jpg

Back
Top Bottom