Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool manager Brendan Rodgers:

"Martin Skrtel is fine. He could have played on but you have to listen to the medical team and the experts and he is fine in the changing room. He fell heavily so there was a feeling he could have been knocked out or concussed but I'll leave that to the medical experts.

"Our objective this week was to get four points out of six in the league and get into the next round of the FA Cup. We got six points out of six and although we are not through to the next round, we are still in the draw."
 

Dah! Ngoja twende taratibu....

Kwanza kabisa ni misspell, siyo missspell!

Ninaposema mwalimu wa spelling, na siyo mwalimu wa misspell, simaanishi kwamba misspell siyo neno sahihi. Na mwalimu wa spelling, anafanya kazi zote mbili za kukufundisha namna ya ku-spell correctly, na kuepuka ku-misspell!

Misspell ni verb, hivyo katika uundaji wa sentensi ama maneno, huwezi kutumia verb kuelezea ualimu wa mtu. Nouns ndiyo uambatana na kuelezea ualimu wa mtu.

Mifano:

1. Ukitaka kumwita mwalimu wa kuandika, huwezi kusema mwalimu wa write, bali usema mwalimu wa writing.
2. Mwalimu wa kusakata rhumba, huwezi kusema mwalimu wa dance, bali usema mwalimu wa dancing.
3. Mwaliwa wa kufundisha udereva, huwezi kusema mwalimu wa drive, bali usema mwalimu wa driving.
4. Mwalimu wa kufundisha upakaji wa rangi, huwezi kusema mwalimu wa paint, bali usema mwalimu wa painting.

NB: Cha muhimu ni wewe kujua namna ya kutofautisha 'verb' na 'noun' katika maneno na uandishi wako, Kwani maneno mengi yaweza kuwa verb na noun kutegemeana na ulivyoyaweka katika sentensi.

Kuhusu timu yangu kuwa uvundo, sawa basi. Kama yangu ni uvundo ikakuchapa 3-0 na ipo nafasi ya juu zaidi yako kwenye ligi, ina fedha nyingi kuliko timu yako, ina makombe mengi zaidi yako, sasa sijui, Loserfool itakuwa nini?!?

Ukiona sikujibu kuhusu masuala ya soka, ujue umeongea mashudu matupu, nami siyo ng'ombe wa kula mashudu, hivyo nayaacha yavunde tu.
 

Trash!
Pointless kabisa!Sijui verb sijui noun utumbo mtupu unaleta hapa!

Nenda jukwaa la lugha hapa ni soka!
 
Liverpool FC today announced details of the
annual Players' Awards ceremony, which for the
first time is open to fans to see their winners
receiving the awards.
The prestigious event which celebrates the first-
team, Ladies and Academy players as well as
former players and supporters, launched in 2014
and is back this year, bigger and better.
The event will take place on Tuesday May 19 at
the Echo Arena Liverpool and will offer fans the
opportunity to attend alongside Brendan Rodgers,
the first-team squad, Liverpool Ladies, Academy
players and legends to celebrate the club first-
hand.
Ian Ayre, the club's chief executive officer, said:
"Our Players' Awards evening provides us with
the opportunity to look back across the season
and recognise all those involved in this great
club.
"Being able to share this special evening with our
supporters will create a great atmosphere and I'm
sure will be a very special night for everyone."
The accolades, which will be presented at the
event, include Player of the Year awards for the
first team, Ladies and Academy, Young Player of
the Year, Goal of the Year and awards for former
players, LFC staff and supporters.
The evening will also feature a special tribute to
Reds captain Steven Gerrard, who will leave the
club at the end of the season.
As well as having the opportunity to attend the
event, fans will be invited to vote in a number of
categories. Voting for Player of the Year and
Young Player of the Year opens today, with voting
for Goal of the Year and Player Performance of the
Year to open on April 27.
A full list of awards along with information on
how to vote is available now at
www.liverpoolfc.com/2015playersawards .
General admission tickets, which start at £28
(plus booking and handling fee), will be available
to purchase from 9am on Wednesday March 11
through the Echo Arena at http://
www.echoarena.com/whats-on/liverpool-fc-
players-awards-2015 .
VIP table packages will also be available to
purchase at http://www.liverpoolfc.com/2015-
players-awards-tickets .
The Players' Awards will be raising funds for the
Liverpool FC Foundation, more information on this
to follow.
Visit www.liverpoolfc.com/2015playersawards for
all ticketing and event information.
 

Attachments

  • 1425907059290.jpg
    26.1 KB · Views: 46

Kamanda... Haya basi umeshinda, turudi kwenye soka:eyebrows::eyebrows:
 
Trash!
Pointless kabisa!Sijui verb sijui noun utumbo mtupu unaleta hapa!

Nenda jukwaa la lugha hapa ni soka!

Tutafika tu....

Ukishasema kitu ni trash, hakuna haja ya kutumia neno pointless. Kwani a trash statement, ni sawa na kusema a pointless statement.
 
TukiiPiga Swansea, Spurs waipige Manure, then tuipige Manure pale Anfield..TOP FOUR is OURS..
 
Game Yetu against Swansea ni HUGE, ni lazima tushinde ile Game, na Spurs lazma washinde/kudraw na Manure...manake tukija kuibamiza Manure tutakuwa tumeopen Gap kubwa kidogo ya points!!!

SiiOni Manure ikishinda kwa Man City and Chelsea!!!

tunatakiwa kuitumia hiyo nafasi vizuri sana!!
 
Swansea wakikupiga, United wakaipiga Spurs, then United wakaipiga Loserfool pale Anfield, TOP Four isn't YOURS

hahahaaaaaaaaaaaa... nimeipenda hii, ndio ushabiki ulivyo, kila mmoja anaombea mwenzake apigwe!!

Mawazo yangu ni kama ya MOSDEF... na najua wa manure wote wanatamani iwe kama utakavyo wewe
 
Game Yetu against Swansea ni HUGE, ni lazima tushinde ile Game, na Spurs lazma washinde/kudraw na Manure...manake tukija kuibamiza Manure tutakuwa tumeopen Gap kubwa kidogo ya points!!!

SiiOni Manure ikishinda kwa Man City and Chelsea!!!

tunatakiwa kuitumia hiyo nafasi vizuri sana!!

TOP FOUR race ipo tight sana!!
 
Swansea wakikupiga, United wakaipiga Spurs, then United wakaipiga Loserfool pale Anfield, TOP Four isn't YOURS

KWANZA
Huwezi kuipiga Spurs
PILI
huwez kabisa kuipiga LFC
TATU
Huwez kuingia TOP FOUR
NNE
Sidhan kama una Haki ya Kujipangia Mipango ya TOP FOUR, manake kwako ni MAJAALIWA!!
 
hahahaaaaaaaaaaaa... nimeipenda hii, ndio ushabiki ulivyo, kila mmoja anaombea mwenzake apigwe!!

Mawazo yangu ni kama ya MOSDEF... na najua wa manure wote wanatamani iwe kama utakavyo wewe

hamfungi Spurs, LFC, Man City wala Chelsea huyo, anaweza akapata zali kwa Aston Villa tu..

Manake siku hizi anashinda kwa Zali tu!!!
 
Swansea wakikupiga, United wakaipiga Spurs, then United wakaipiga Loserfool pale Anfield, TOP Four isn't YOURS

Ni sawa na USA ipigwe na TZ ktk medani za kijeshi!Unacho kiombea hakipo ktk uhalisia ktk dunia ya leo labda Ahera

Arsenal anakutoa FA na huwezi pata hata sare Anfield!
 
Tutafika tu....

Ukishasema kitu ni trash, hakuna haja ya kutumia neno pointless. Kwani a trash statement, ni sawa na kusema a pointless statement.

Trash!
Pointless kabisa na una andika kama mtu aliyekata tamaa!Soka limekushinda sasa unaanza kujamba jamba tu
 
TukiiPiga Swansea, Spurs waipige Manure, then tuipige Manure pale Anfield..TOP FOUR is OURS..

Ndiyo itakavayo kuwa mkuu!

Man U hawezi mshinda Tots,Liverpool,Man City wala Chelsea

Man U hawezi kuwepo top four
 
such a BOGEY team for us Aisee, and ts gonna be at Villa Park!!!!

Nooooma!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…