Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Semi-final uwa inapigwa Wembley, so tukomae kwanza na hiki kiporo cha Blackburn. Kisha tuwafikirie Villa
 
Hata mm najua hivyo!Semi finalz zote za FA ni Wembley

Final pia ni Wembley

Yea ndio hapo hapo, tutamchinja tu uyu Villa, Ingawa sisi ndio tutabadili jezi siku iyo. Kikubwa tumalizane na hawa Blackburn tu
 
Ningekuwa nina Uwezo, Next season hawa watu wasingekuwepo pale LFC

Glen Johnson
Iago Aspas
Lambert
Borini
Kolo Toure!

Hawa ntawarudisha LFC!!!
Joao Teixeira
Tiago Ilori

Hawa ntawabakiza Huko walipo:
Andre Wisdom
Luis Alberto

Hawa ntawahamisha Team nyingine kwa mkopo:
Divock Origi (Wigan or Sunderland)

Hawa ningewatoa kwa mkopo:
Jerome Sinclair
Jordan Rossiter
Brad Smith
Sergi Canos

Hawa ndiyo ningewatafuta kwenye Market:
Pjanic
Ilaramendi (On loan)
Dyabala/
I'd be Ok with Ings, kama tutakuwa tunasign another ST!
Perin/Marco (i'd rather have Perin though)

MY TEAM! (Full Squad)
Gk's
Mignolet
Perin/Marco
Brad Jones/Ward/Voug??

CB's
Martin Skritel
Mamadou Sakho
Lovren
Tiago Ilori

FullBacks
Moreno
Flanagan
Manquilo
Jose Enrique
McLauglin

MF's
1. CDM's
Lucas Leiva
ilaramendi (back-Up)
Joe Allen (ameshaanza kuizoea)

2.CAM's
Emre Can
Henderson
Pjanic

3. AM's
Coutinho
Lallana
Markovic
Ibe
Raheem
Teixeira "Vilaca"

ST's
Sturridge
Balotelli
Dyabala/
Ings
 
POLL:

Kati ya GJ na Jose Enrique ni nani ambaye unaona anafaa kuondoka summer inayokuja????
 
Mkuu, Kolo has never put a foot wrong in 2014/15... ni good servant na hii ya kucheza bit-part imempa nafasi ya kuwa mzuri sana

I would retain him kama leader... you could see how his peer respect him... and bring back Illori, then ningemuuza Luis Enrique au kumuacha aende bure (he has been a good servant to us)

I am worried about Origi... kachuja kabla hajang'aa

kuhusu strikers, Ings ni kama Mellor (matunda ya msimu), you need a world class striker to win big, Danny boy isnt, Balo isnt and Ings isnt, sijui huyo Diblo Dibala

as for fullbacks, you cant be serious... Where is wisdom?? Huyo McLaughlin bado

Lucas should be sold now, and with Gerro leaving tuweke jembe moja gumu
I would invest in Reus/Aubameyang, na yule jamaa wa Vilareal and promote more of internal qualities
 
POLL:

Kati ya GJ na Jose Enrique ni nani ambaye unaona anafaa kuondoka summer inayokuja????

wote waondoke... tuna Wisdom, Flano, Moreno, Kolo can also play the position, Manquillo, Wisdom (who just like Kolo, can also play as a center back), and Emre (versatile)
 
Mkuu, Kolo has never put a foot wrong in 2014/15... ni good servant na hii ya kucheza bit-part imempa nafasi ya kuwa mzuri sana

I would retain him kama leader... you could see how his peer respect him... and bring back Illori, then ningemuuza Luis Enrique au kumuacha aende bure (he has been a good servant to us)

I am worried about Origi... kachuja kabla hajang'aa

kuhusu strikers, Ings ni kama Mellor (matunda ya msimu), you need a world class striker to win big, Danny boy isnt, Balo isnt and Ings isnt, sijui huyo Diblo Dibala

as for fullbacks, you cant be serious... Where is wisdom?? Huyo McLaughlin bado

Lucas should be sold now, and with Gerro leaving tuweke jembe moja gumu
I would invest in Reus/Aubameyang, na yule jamaa wa Vilareal and promote more of internal qualities

Lucas is Picking Up his Form now, sidhan kama tunatakiwa kumuuza, ndo maana naona LFC wamekuwa Linked na Ilaramend kama Back Up nadhani!!!

Kuhusu Wisdom, akirud LFC atazid kudumaza kiwango chake now, i think hii 3-4-3 itamwacha nje sana, ndo maana nataka abaki WestBrom azidi kukolea..mpaka hapo BR atakapokuja na Formation nyingine (well hatujui atakuja na nini next season)

Reus ningependa sana Aje LFC, but ni ndoto tu hizo, ndo maana kwa Dyabala nimeweka alama ya (/) it means mwingine yoyote yule, but huwez jua though!!!!

Kama tukiwa tunasign Another recognized ST, stakuwa na tatizo na Ings, as long as anakuwa kama BackUp tu..lakin kama ndo main Target, Akafie Mbele!

Kolo, juzi Echo wamereport kapewa offet ya one year deal, naye eti anajifanya kujiuliza...ndo hapo nnapoborekaga Aisee..kama hatak Aondoke, We got Young Dagger Coming Up..
 
FA imeisha tangaza siku ya replay na Burn?

LFC bado haijajulikana, ila BR alikua analalamika, Reading na Bradford kuambiwa na FA wacheze replay next monday night yani 48hrs after their league games away from home. So hofu yake hata LFC tunaweza kupewa siku mbaya kama iyo but tetesi game yetu ni after kama 1month tangu tucheze ile
 
wote waondoke... tuna Wisdom, Flano, Moreno, Kolo can also play the position, Manquillo, Wisdom (who just like Kolo, can also play as a center back), and Emre (versatile)

Kuna kitu sikipend but, naona GJ akibaki kwa msimu mwingine!!!

But kati ya hao wawili, ningependa JE abaki!!!
 
LFC bado haijajulikana, ila BR alikua analalamika, Reading na Bradford kuambiwa na FA wacheze replay next monday night yani 48hrs after their league games away from home. So hofu yake hata LFC tunaweza kupewa siku mbaya kama iyo

replay tarehe 7, ewood park!!!

Blackburn ndo imewaangukia pabaya, coz tarehe 6 wana game na Millwall, but washaomba iwe postponed!!!!
 
Back
Top Bottom