Maskini, sijui utakuwa ushamba ama? Kwahiyo reddit ndiyo unaona ina authority katika hizo stats?
Hivi unajua reddit ni kama JF? Ambapo bwana Nzi au MosDef anaweza kuleta habari ama takwimu zake humu? Sasa mtu akizichukua hizo takwimu atajigamba nazo mbele za watu?
Reddit inaishi kwa user-generated contents. Huwezi linganisha na
http://www.whoscored.com/ http://www.squawka.com/ http://www.fourfourtwo.com/ au
http://www.soccerbase.com/ ambazo kazi zao ni kugenerate football stats, zimeajiri watu kufanya hiyo kazi, hazitegemei user-generated contents kutoa football stats.
Sawa ngoja nikukubalie hiyo reddit yako. Angalia walichokiandika:
Manchester United: 1696 long balls, 12060 total passes -
14.1% proportion of total passes
Sasa kwa akili tu ya kawaida, unaweza kuita hii timu ni ya long balls? Kama long balls zinachangia asilimia 14.1 tu ya passes zote? Jamani hata kama ni unazi, ndiyo unajitoa ufahamu kiasi hiki!?!?!
Nzi bhana, sometimes huwa unanichekesha sana Man!!
Umehoji kuwa Kama hizo stats nmezitoa twitter, me nikakujibu nikakwambia ni reddit hao, (sikukwambia kuwa hiyo ni website inayodeal na Stats) ni kwamba nilikuwa nataka nikuoneshe kwamba Syo twitter, na kwann nimetumia Comments, za kwenye reddit?? ni kwasababu wameleta overall ya long balls, na siyo per Game, coz squawka na Whoscored, wameziview per game!! (ni kitu ambacho ulitakiwa uelewe tu kirahisi)..
Manure wanaongoza kwa Kwa pass Success, (ndiyo nakubali) na tukitoa ushabiki, ni kwamba most of passes zinachezwa katika backline na kwenye middle, (main link ni Blind), Na nadhan unaelewa Action point yenu katika position, umiliki wa mpira ni kwenye backline na kwenye Midfield (again main link ni Blind)..tunaposema kuwa Manure inaongoza kwa long balls, hatuna maana kuwa hauchez short passes, NO, short passes unacheza, na Pia una average kubwa ya long balls per game, kuliko team zote EPL, bar Burnley, ambao wanaAverage ya Long balls 80 per game, na Manure ni 78 per game, Hicho ni kiasi kikubwa, na ndo kinakufanya uonekane ni team ambao inapenda kutumia long balls, Kama ishu zikiwa tight uwanjani (hakuna ushabiki hapo) hata kwa Crosses, Manure ni ya PILI nyuma ya Southampton, (hakuna ushabiki hapo)..
Na tangu lini LONG BALLS zikacreate Range nzuri ya passes uwanjani??? (ushaona wapi) ndo maana nimeishangaa argument yako hapo kuhusu Comment ya kwenye Reddit, Long balls, si ndo zinazowanyima uwezo kina Di maria, kutanuka na kukimbia kwa nafasi, coz unapoamua kucheza kwa long balls, Inamaana Target yako inakuwa ni kwa watu flani tu, hence unampa wakat mgumu Di maria kufungua na kuoperate kwa uhuru (ana limited Role uwanjani chini ya LVG)..
Katika Dunia ya Mpira huwezi kuitwa "Pass Master" kama unacheza "Back passes na Square passes" ndo maana BLIND ana 90% pass Accuracy lakin ni sideways pass ambazo haziisaidii team kufungua mashambulizi, NATOA USHABIKI kuhusu CARRICK leo, yule Aliitwa "pass master" kwasababu most if his passes ni "Forwad Passes" ni rahis kufacilitate Attacks, LFC kuna mtu anaitwa Joe Allen ni mmoja kati ya wachezaj wenye Pass Accuracy nzuri sana kwenye EPL, lakin square passes, hazisaidii team, Ndo maana Unakuta zile "through balls" ni chache sana per game kwa Man utd, (2? per game) ukitegemea kuwa una Di maria, Mata, Etc kwenye team, kwanza unapendelea sana unatumia sana upande wa kulia kusukuma Mashambulizi (kwanini)..kwann usifacilitate attacks kutokea katikati??? ikiwa unawin possession kirahisi??? na kwanini team inayocheza Counter attack football ni rahis sana kuifunga Manchester??? kwanini inakuwa tabu kwa Falcao kupata mipira??? kwanini attacking force ya Manchester ni mbovu???..nataka nikwambia kitu, Di maria tangu porto used to operate from wings na mpaka Madrid ni hivyo hivyo, alivyokuja Bale, Carlo alimwamisha katikati zaid, he was operating nyuma ya Bale, ronaldo na Benzema, na he was at his best, coz hakuwa na LIMITED ROLE UWANJANI...Di maria akipata mipira siku hizi anakimbia zaid kwenye flanks na kupiga cross, chance nying za kufunga zinamkuta akiwa Out of position, (haelewi anachezeshwa role gani) haelewi anafanya nini uwanjani..na kwa perfomance yake ni easy sana kumlabel kama FLOP!!
Me naujua Mpira, Di maria na Falcao washapaniki sahiv..
Huwez kucheza "diamond" (4-4-2) ukamweka Di maria Pembeni Aisee (Carlo atakuwa anacheka sana).. 4-3-3 ndo unamweka Di maria Pembeni!!
Ninachotaka kukwambia
Nzi whether unaongoza kwa possession na passes, lakin hauepuki dhana ya kwamba unacheza Long balls nyingi per game, na sad thing ni kwamba unaconcetrate kwenye long balls na kushindwa hata kutumia pace ya Di maria kwenye Counters.