Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Katika Transfer market:

1. kuregister interest
2. kufanya Inquiry
3. kuBid

Ni vitu viTATU tofauti...kwa Shaqir tulikuwa na INTEREST tu wakat wa Summer (nadhan unaelewa maana ya INTEREST)..hii Ni HATUA ya mwanzo kabisa!

Unapoenda kufanya INQUIRY, ni kuulizia upatikanaji wa Mchezaji, then kama mchezaj anapatikana CLUB husika itakwambia ANAPATIKANA, na kama hayupo kwa AJILI ya kuuzwa CLUB husika itakwambia (hii ni Stage ya PILI ambayo inarest aside Rumours zote) mwenye KAULI ya Mwisho kabisa katika Hili Suala ni CLUB siyo AGENT hata kidogo!!!

Hapo Club ikishaambiwa mchezaji anapatikana, ndo inaanza kuwasiliana Na Agent/kambi ya mchezaji AU clubs huwa zinadisclose kuhusu inquiry iliyofanya kwenye medias (local journals na Reliable medias zivujishiwa habari)..baada ya HAPO zinabid MOJA kwa MOJA, ni club ikiridhika na BID, wanaenda katika Personal terms na Mchezaji, (siku hiz clubs zinaanza kwanza na personal terms) Juzi hapa Burnley si walitaka wailetee msala LFC, kwa FA baada ya LFC kwenda moja kwa moja kwa Ings bila kufata procedures!!!!

Asa kwa Shaqir tulikuwa na INTEREST TU..
View attachment 233769

Asa me nilivyo, Habari mpaka niione kwa kina Pearce, Barret, Ben Smith ndo nakufa nayo hiyo hiyo!!! coz wanareport on behalf of the Club..

Mkuu hayo matatu nayaelewa kiufasaha, ebu ngoja tufunge hii discussion, ila sasa tu labda tuseme kua basi Shaqir alikuza ishu kwa iyo kauli yake mwenyewe, and am not the one niliyepoteza watu, nilichokifanya ni kuweka walichom-quote. (Labda niongezee kitu, uki-bid maana yake bado una INTEREST haijalishi whether bid itakua accepted or not, interest haiishi mara baada ya ku-bid)
 
Teh teh teh
Manure are best and accurate in long ball possession, other teams though, prefer short and quick passes.
Those you called baloney are actual facts, you can verify them via Opta, Whoscored.com or Squawka
And if you are still not satisfied, you can take the matter to Big Sam........

How can a team be the best in possession and pass-success, and yet be considered a long balls team?

Does long balls tactic count in possession stats?

Do you understand what it means for a team to be considered the best in pass-success rates?

Please give those links (from Opta, Whoscored.com or Squawka) showing long balls stats.

If you can answer those questions and link to what you have said, I bet you US$ 50.
 
Ha ha ha!! Naona unajitutumia chifu.

Long balls masters, ball possession masters, and pass-success masters, how contradicting it is!!

How can a team be the best in possession and pass-success, and yet be considered a long balls team?

In football, that can never happen.

I brought you factual evidence in statistics, you brought baloney with words turned into numbers.

ubishi mwingine Bwana!!!

Team yako ina Stats nzuri sana bro, manake ndo mnaongoza kwa pass Success na Possession, but but nataka niulize most ya hizo pass ni "back passes au Forwad passes?"

BTW..manure ndo team ya PILI kwa long balls EPL mpaka sasa tunavyoongea!!
ImageUploadedByJamiiForums1426086159.613172.jpg
 
inashangaza kuona Team inayoongeza kwa Pass na umilikaji wa mpira ina Struggle Pale EPL (sikatai na siyo Sarcasm)
 
How can a team be the best in possession and pass-success, and yet be considered a long balls team?

Does long balls tactic count in possession stats?

Do you understand what it means for a team to be considered the best in pass-success rates?

Please give those links (from Opta, Whoscored.com or Squawka) showing long balls stats.

If you can answer those questions and link to what you have said, I bet you US$ 50.

And if I fail to answer your questions will that prove otherwise to the fact that Manure are a long ball side?
 
inashangaza kuona Team inayoongeza kwa Pass na umilikaji wa mpira ina Struggle Pale EPL (sikatai na siyo Sarcasm)

Teh teh teh, lazima tufanye definition ya hizi terms ili tuwe pamoja kwenye mjadala.
Pass zipi? Sideways and backward passes za kina Blind na Rooney? Na hizo pass zinapigwa eneo lipi uwanjani, on your own half au in the opposition's penalty box?

Halafu passes nyingi za Manure zinapigwa na mabeki na kipa, hapa huhitaji akili nyingi kama za mchwa kujua nini kinaendelea
 
inashangaza kuona Team inayoongeza kwa Pass na umilikaji wa mpira ina Struggle Pale EPL (sikatai na siyo Sarcasm)

Ina struggle kwenye EPL kwa kutumia benchmark ya Loserfool?

Sasa unaleta utani!! Kwenye EPL kati ya United na Loserfool nani anayestruggle based on team position in the league this season and last season?!?!?

Last season United was 7th this time, and Loserfool was in the so called title-contending position. Look where Loserfool is today, and look again where United is pheewww!
 
Teh teh teh, lazima tufanye definition ya hizi terms ili tuwe pamoja kwenye mjadala.
Pass zipi? Sideways and backward passes za kina Blind na Rooney? Na hizo pass zinapigwa eneo lipi uwanjani, on your own half au in the opposition's penalty box?

Kwani hizo siyo pasi? Kama zingekuwa hazina maana kwenye uwanja, basi zingefanywa ni bookable offences. Je, ndivyo ilivyo?

Halafu, usijifanye kuijua sana Man United! Angalia hapa:

[h=2]Wayne Rooney's Characteristics[/h] [h=3]+ Strengths[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Holding on to the ball
[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Long shots
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Direct free-kicks
[/TD]
[TD="align: right"] Strong
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Key passes

[/TD]
[TD="align: right"] Strong
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Passing

[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Finishing
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Through balls

[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Taking set-pieces
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Concentration
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[h=3]Wayne Rooney's Style of Play[/h]
  • Counter attack threat
  • Likes to do layoffs
  • Likes to play long balls
  • Plays the ball off the ground often
  • Does not dive into tackles

Wayne Rooney Football Statistics | WhoScored.com

[h=2]Daley Blind's Characteristics[/h] [h=3]+ Strengths[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Passing

[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Holding on to the ball
[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Long shots
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Aerial Duels
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ball interception
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Concentration
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD="align: right"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[h=3]Daley Blind's Style of Play[/h]
  • Likes to cross
  • Likes to shoot from distance
  • Likes to tackle

Daley Blind Football Statistics | WhoScored.com

Halafu passes nyingi za Manure zinapigwa na mabeki na kipa, hapa huhitaji akili nyingi kama za mchwa kujua nini kinaendelea

Sawa. Lakini ndiyo inayoongoza kwa stats. Either back or forward pass, it counts in the stats. That's the important aspect in our discussion. Naona unazidi kutanua goli tu...endelea kulitanua
 
Ina struggle kwenye EPL kwa kutumia benchmark ya Loserfool?

Sasa unaleta utani!! Kwenye EPL kati ya United na Loserfool nani anayestruggle based on team position in the league this season and last season?!?!?

Last season United was 7th this time, and Loserfool was in the so called title-contending position. Look where Loserfool is today, and look again where United is pheewww!

Katafute hivi vitu afu urudi, kwanzia mwaka 2015 uanze!!!

1. team with most points
2. Unbeaten team in 2015 (top 5 leagues)
3. The Most inform team in EPL
4. Clean Sheets (kati yangu me na Manure)

Ukiniambia Manure kanipita kwenye hivyo vitu, ndo ntajua LFC wanastruggle kwenye League Sahiv..
 
Maskini, sijui utakuwa ushamba ama? Kwahiyo reddit ndiyo unaona ina authority katika hizo stats?

Hivi unajua reddit ni kama JF? Ambapo bwana Nzi au MosDef anaweza kuleta habari ama takwimu zake humu? Sasa mtu akizichukua hizo takwimu atajigamba nazo mbele za watu?

Reddit inaishi kwa user-generated contents. Huwezi linganisha na http://www.whoscored.com/ http://www.squawka.com/ http://www.fourfourtwo.com/ au http://www.soccerbase.com/ ambazo kazi zao ni kugenerate football stats, zimeajiri watu kufanya hiyo kazi, hazitegemei user-generated contents kutoa football stats.

Sawa ngoja nikukubalie hiyo reddit yako. Angalia walichokiandika:

Manchester United: 1696 long balls, 12060 total passes - 14.1% proportion of total passes

Sasa kwa akili tu ya kawaida, unaweza kuita hii timu ni ya long balls? Kama long balls zinachangia asilimia 14.1 tu ya passes zote? Jamani hata kama ni unazi, ndiyo unajitoa ufahamu kiasi hiki!?!?!
 
Chifu, kama ligi ikiangaliwa hivyo basi tufanye Loserfool ni mabingwa. Nimemaliza.
 
Kwani hizo siyo pasi? Kama zingekuwa hazina maana kwenye uwanja, basi zingefanywa ni bookable offences. Je, ndivyo ilivyo?

Halafu, usijifanye kuijua sana Man United! Angalia hapa:

[h=2]Wayne Rooney's Characteristics[/h] [h=3]+ Strengths[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Holding on to the ball
[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Long shots
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Direct free-kicks
[/TD]
[TD="align: right"] Strong
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Key passes

[/TD]
[TD="align: right"] Strong
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Passing

[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Finishing
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Through balls

[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Taking set-pieces
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Concentration
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[h=3]Wayne Rooney's Style of Play[/h]
  • Counter attack threat
  • Likes to do layoffs
  • Likes to play long balls
  • Plays the ball off the ground often
  • Does not dive into tackles

Wayne Rooney Football Statistics | WhoScored.com

[h=2]Daley Blind's Characteristics[/h] [h=3]+ Strengths[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Passing

[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Holding on to the ball
[/TD]
[TD="align: right"] Very Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Long shots
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Aerial Duels
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ball interception
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Concentration
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD="align: right"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[h=3]Daley Blind's Style of Play[/h]
  • Likes to cross
  • Likes to shoot from distance
  • Likes to tackle

Daley Blind Football Statistics | WhoScored.com

Sawa. Lakini ndiyo inayoongoza kwa stats. Either back or forward pass, it counts in the stats. That's the important aspect in our discussion. Naona unazidi kutanua goli tu...endelea kulitanua

Nilikua narespond post ya MosDef kuhusu team kuwa na high percentage rate in ball possession and yet struggle in the same league.

Regarding your questions, won't answer them because it looks like someone is manipulating the search to justify their own conclusion.
Umeleta stats za Whoscored.com nikakupa za The Guardian zinazotoka Opta ukaziponda, zako ni reliable za wenzako unaziita baloney, sasa tutafika muafaka hapa?

Official data of EPL are provided by Opta, kama kweli unataka kujadili hizo stats za long balls sihitaji kukutafunia kila kitu hapa, nikikupa article au kukurefer tu kwa Opta nadhani it's more than enough, kama huamini it's you who should provide the correct stats via Opta.
 
Last edited by a moderator:
Regarding your questions, won't answer them because it looks like someone is manipulating the search to justify their own conclusion.

I am not trying to manipulate anybody. And if you get manipulated by what I post, I feel sorry for you. Those are genuine football questions. That is why I did bet US$ 50, knowing there is no way you can answer them.

Umeleta stats za Whoscored.com nikakupa za The Guardian zinazotoka Opta ukaziponda, zako ni reliable za wenzako unaziita baloney, sasa tutafika muafaka hapa?

Kama umenielewa vizuri, mimi ninachopinga ni uhalali wa hizo takwimu kisoka. Maana timu haiwezi kuitwa eti ya long-balls halafu hiyo hiyo iwe inaongoza kwa pass-success rates na ball possession. Kisoka haileti mantiki, kama unafahamu soka kweli kweli. Ndiyo maana kuna link ameleta MosDef inaonyesha kuwa kumbe hizo long-balls zinachangia asilimia 14.1 tu ya total passes za United. Sasa hapo kuna mjadala kweli?!?

Official data of EPL are provided by Opta, kama kweli unataka kujadili hizo stats za long balls sihitaji kukutafunia kila kitu hapa, nikikupa article au kukurefer tu kwa Opta nadhani it's more than enough, kama huamini it's you who should provide the correct stats via Opta.

Sasa who is trying to manipulate now? Eti official data of EPL are provided by Opta! Toka lini?

Kwa hiyo Opta ni mmoja kati ya partners wa EPL siyo? Tembelea website ya Opta (hii hapa chini), halafu angalia kipengelee cha "Who we work with". Kisha uje urudie tena kusema hayo maneno yako.

Opta | We live sport - About Opta

EPL wanafanya kazi na EA Sports kupata performance indexes za wachezaji, ambapo ndipo stats za scorers, assists n.k. utoka.

EA SPORTS Player Performance Index | Barclays Premier League

Opta ni kama akina whoscore.com na squawka.com tu! Wote ni wafanyabiashara, wanakusanya takwimu na kuziuza kwa makampuni mbalimbali.
 
I am not trying to manipulate anybody. And if you get manipulated by what I post, I feel sorry for you. Those are genuine football questions. That is why I did bet US$ 50, knowing there is no way you can answer them.

Kama umenielewa vizuri, mimi ninachopinga ni uhalali wa hizo takwimu kisoka. Maana timu haiwezi kuitwa eti ya long-balls halafu hiyo hiyo iwe inaongoza kwa pass-success rates na ball possession. Kisoka haileti mantiki, kama unafahamu soka kweli kweli. Ndiyo maana kuna link ameleta MosDef inaonyesha kuwa kumbe hizo long-balls zinachangia asilimia 14.1 tu ya total passes za United. Sasa hapo kuna mjadala kweli?!?

Sasa who is trying to manipulate now? Eti official data of EPL are provided by Opta! Toka lini?

Kwa hiyo Opta ni mmoja kati ya partners wa EPL siyo? Tembelea website ya Opta (hii hapa chini), halafu angalia kipengelee cha "Who we work with". Kisha uje urudie tena kusema hayo maneno yako.

Opta | We live sport - About Opta

EPL wanafanya kazi na EA Sports kupata performance indexes za wachezaji, ambapo ndipo stats za scorers, assists n.k. utoka.

EA SPORTS Player Performance Index | Barclays Premier League

Opta ni kama akina whoscore.com na squawka.com tu! Wote ni wafanyabiashara, wanakusanya takwimu na kuziuza kwa makampuni mbalimbali.

Teh teh teh, naona unajitahidi kutwist maneno, am not easily manipulated hata kwa bet ya 1000$
Ahsante kwa kunisahihisha kuhusu Opta, thanx mdudu Nzi
The question remains, katika EPL team gani inatumia sana long balls? Je ni kweli Burnley na Manure ndio vinara? Labla hao EA SPORTS watamaliza huu mjadala.
 
Last edited by a moderator:
Maskini, sijui utakuwa ushamba ama? Kwahiyo reddit ndiyo unaona ina authority katika hizo stats?

Hivi unajua reddit ni kama JF? Ambapo bwana Nzi au MosDef anaweza kuleta habari ama takwimu zake humu? Sasa mtu akizichukua hizo takwimu atajigamba nazo mbele za watu?

Reddit inaishi kwa user-generated contents. Huwezi linganisha na http://www.whoscored.com/ http://www.squawka.com/ http://www.fourfourtwo.com/ au http://www.soccerbase.com/ ambazo kazi zao ni kugenerate football stats, zimeajiri watu kufanya hiyo kazi, hazitegemei user-generated contents kutoa football stats.

Sawa ngoja nikukubalie hiyo reddit yako. Angalia walichokiandika:

Manchester United: 1696 long balls, 12060 total passes - 14.1% proportion of total passes

Sasa kwa akili tu ya kawaida, unaweza kuita hii timu ni ya long balls? Kama long balls zinachangia asilimia 14.1 tu ya passes zote? Jamani hata kama ni unazi, ndiyo unajitoa ufahamu kiasi hiki!?!?!
Nzi bhana, sometimes huwa unanichekesha sana Man!!

Umehoji kuwa Kama hizo stats nmezitoa twitter, me nikakujibu nikakwambia ni reddit hao, (sikukwambia kuwa hiyo ni website inayodeal na Stats) ni kwamba nilikuwa nataka nikuoneshe kwamba Syo twitter, na kwann nimetumia Comments, za kwenye reddit?? ni kwasababu wameleta overall ya long balls, na siyo per Game, coz squawka na Whoscored, wameziview per game!! (ni kitu ambacho ulitakiwa uelewe tu kirahisi)..

Manure wanaongoza kwa Kwa pass Success, (ndiyo nakubali) na tukitoa ushabiki, ni kwamba most of passes zinachezwa katika backline na kwenye middle, (main link ni Blind), Na nadhan unaelewa Action point yenu katika position, umiliki wa mpira ni kwenye backline na kwenye Midfield (again main link ni Blind)..tunaposema kuwa Manure inaongoza kwa long balls, hatuna maana kuwa hauchez short passes, NO, short passes unacheza, na Pia una average kubwa ya long balls per game, kuliko team zote EPL, bar Burnley, ambao wanaAverage ya Long balls 80 per game, na Manure ni 78 per game, Hicho ni kiasi kikubwa, na ndo kinakufanya uonekane ni team ambao inapenda kutumia long balls, Kama ishu zikiwa tight uwanjani (hakuna ushabiki hapo) hata kwa Crosses, Manure ni ya PILI nyuma ya Southampton, (hakuna ushabiki hapo)..

Na tangu lini LONG BALLS zikacreate Range nzuri ya passes uwanjani??? (ushaona wapi) ndo maana nimeishangaa argument yako hapo kuhusu Comment ya kwenye Reddit, Long balls, si ndo zinazowanyima uwezo kina Di maria, kutanuka na kukimbia kwa nafasi, coz unapoamua kucheza kwa long balls, Inamaana Target yako inakuwa ni kwa watu flani tu, hence unampa wakat mgumu Di maria kufungua na kuoperate kwa uhuru (ana limited Role uwanjani chini ya LVG)..

Katika Dunia ya Mpira huwezi kuitwa "Pass Master" kama unacheza "Back passes na Square passes" ndo maana BLIND ana 90% pass Accuracy lakin ni sideways pass ambazo haziisaidii team kufungua mashambulizi, NATOA USHABIKI kuhusu CARRICK leo, yule Aliitwa "pass master" kwasababu most if his passes ni "Forwad Passes" ni rahis kufacilitate Attacks, LFC kuna mtu anaitwa Joe Allen ni mmoja kati ya wachezaj wenye Pass Accuracy nzuri sana kwenye EPL, lakin square passes, hazisaidii team, Ndo maana Unakuta zile "through balls" ni chache sana per game kwa Man utd, (2? per game) ukitegemea kuwa una Di maria, Mata, Etc kwenye team, kwanza unapendelea sana unatumia sana upande wa kulia kusukuma Mashambulizi (kwanini)..kwann usifacilitate attacks kutokea katikati??? ikiwa unawin possession kirahisi??? na kwanini team inayocheza Counter attack football ni rahis sana kuifunga Manchester??? kwanini inakuwa tabu kwa Falcao kupata mipira??? kwanini attacking force ya Manchester ni mbovu???..nataka nikwambia kitu, Di maria tangu porto used to operate from wings na mpaka Madrid ni hivyo hivyo, alivyokuja Bale, Carlo alimwamisha katikati zaid, he was operating nyuma ya Bale, ronaldo na Benzema, na he was at his best, coz hakuwa na LIMITED ROLE UWANJANI...Di maria akipata mipira siku hizi anakimbia zaid kwenye flanks na kupiga cross, chance nying za kufunga zinamkuta akiwa Out of position, (haelewi anachezeshwa role gani) haelewi anafanya nini uwanjani..na kwa perfomance yake ni easy sana kumlabel kama FLOP!!

Me naujua Mpira, Di maria na Falcao washapaniki sahiv..

Huwez kucheza "diamond" (4-4-2) ukamweka Di maria Pembeni Aisee (Carlo atakuwa anacheka sana).. 4-3-3 ndo unamweka Di maria Pembeni!!

Ninachotaka kukwambia Nzi whether unaongoza kwa possession na passes, lakin hauepuki dhana ya kwamba unacheza Long balls nyingi per game, na sad thing ni kwamba unaconcetrate kwenye long balls na kushindwa hata kutumia pace ya Di maria kwenye Counters.
 
Last edited by a moderator:
Naam MosDef, umekua mchoyo tu hujatag wadau hapo juu wapate hayo madini bureburee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom